64 year old Madonna is now dating 29 year old Boxer Josh Popper

Nipo kwenye mid 40's, binafsi nikiona habari yeyote leo kuhusu Madonna huwa hainishughulishi isipokuwa huwa nakumbuka mbali around 1987 nikimshuhudia live Lady Madonna akiwa kwenye tour yake "Who's that girl tour" nchini Japan. Hii post imenikumbusha mbali mno lakini pia imenifanya nielewe maana ya maisha na muda na nimekumbuka mbali kweli. Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…