witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Point kuu ya hii comment yako ni kumuona madonna live ...Nipo kwenye mid 40's, binafsi nikiona habari yeyote leo kuhusu Madonna huwa hainishughulishi isipokuwa huwa nakumbuka mbali around 1987 nikimshuhudia live Lady Madonna akiwa kwenye tour yake "Who's that girl tour" nchini Japan. Hii post imenikumbusha mbali mno lakini pia imenifanya nielewe maana ya maisha na muda na nimekumbuka mbali kweli. Aisee