mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Unajisifia upuuzi? Upo timamu wewe? Ptuuuukweli mchungu ni kwamba, wazungu wanatubagua sana, ila kwenye suala la ngono, wanatuaminia mno kuliko hata wazungu wenzao. kwa walioishi ulaya watakubaliana na mimi hili. nafikiri hicho ndio kitu kikubwa Mungu alitubariki waafrika.