64 year old Madonna is now dating 29 year old Boxer Josh Popper

64 year old Madonna is now dating 29 year old Boxer Josh Popper

Nshalala nae sana huyu demu kwenye nyeto zangu
 
Huyu bibi anaonekana anapenda ngono kuliko kula.
 
Nipo kwenye mid 40's, binafsi nikiona habari yeyote leo kuhusu Madonna huwa hainishughulishi isipokuwa huwa nakumbuka mbali around 1987 nikimshuhudia live Lady Madonna akiwa kwenye tour yake "Who's that girl tour" nchini Japan. Hii post imenikumbusha mbali mno lakini pia imenifanya nielewe maana ya maisha na muda na nimekumbuka mbali kweli. Aisee
Maisha ni safari..
 
Tena unaambiwa miezi 5 iliyopita Lady Madonna alikuwa ana "date" na kijana wa 23 years old[emoji39][emoji39]
[emoji116][emoji116]
The new romance follows reports that the Queen of Pop called it quits with model boyfriend Andrew Darnell, 23, after five months
 
Bado ana energy ya kutosha
Na anategemea kupiga show la mziki na tickets zimeisha zamani

Kwa umri nimemzidi ila kazidi kujitakasa
Yaani hataki kuchakaa
Mimi acha nipake Nivea tu [emoji1] [emoji1787]
 
Back
Top Bottom