Point kuu ya hii comment yako ni kumuona madonna live ...Nipo kwenye mid 40's, binafsi nikiona habari yeyote leo kuhusu Madonna huwa hainishughulishi isipokuwa huwa nakumbuka mbali around 1987 nikimshuhudia live Lady Madonna akiwa kwenye tour yake "Who's that girl tour" nchini Japan. Hii post imenikumbusha mbali mno lakini pia imenifanya nielewe maana ya maisha na muda na nimekumbuka mbali kweli. Aisee
Duh...vip anahongaHuyo mama huwa anatuma watu, nenda kamwambie Madonna anataka ku hang na wewe. Ndivyo anavyowakamata.
Kwaio mtaalam, swali la kizushi, unataka kusema mama Sky Eclat hana libido na energy tena? Yaan hata mo energy? Au hali vjzur na hafanyi mazoezi? 🤣🤣🤣🤣🤣Sky Eclat inawezekana hata wewe kuwa na energy na libido kama hiyo ni lifestyle tu ukianza na misosi na mazoezi.
Wamama wa kidhungu wanagegedana sana hata kibibi cha 70+ utakuta kipo vizuri hadi bj kinapiga
Na Madonna huwa anavunja chaga muulize Tyson kibamia chake hakina hamuAsije akakavunja kiuno kabibi
Au sioHiyo relationship inaitwa kikubwa uhai[emoji41]
Ukiona hivyo ujue naye ni maji ya jioni.Hivi we dada kwanini unapenda sana thread zinazohusu umri?
Hahaa nimeona kaandika "I wish I can have that energy!"Kwaio mtaalam, swali la kizushi, unataka kusema mama Sky Eclat hana libido na energy tena? Yaan hata mo energy? Au hali vjzur na hafanyi mazoezi? 🤣🤣🤣🤣🤣
Inabd umtake radhi
witnessj... soma kwa makini, nimesema nimekumbuka mbali na matukio ni mengi mengi, siwezi elezea yote.Point kuu ya hii comment yako ni kumuona madonna live ...
Muhenga yuleHivi we dada kwanini unapenda sana thread zinazohusu umri?
Ndio vilipoanziaVibenteni na mariioos hadi Ulayaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani alikudanganya kwamba kibwenyeee! Kinazeeka!?Duh, mama hataki kuzeeka
🤣🤣View attachment 2535500
I wish I can have that energy!