ukweli mchungu ni kwamba, wazungu wanatubagua sana, ila kwenye suala la ngono, wanatuaminia mno kuliko hata wazungu wenzao. kwa walioishi ulaya watakubaliana na mimi hili. nafikiri hicho ndio kitu kikubwa Mungu alitubariki waafrika.
sijisifii upuuzi. ninasema, wazungu wanaamini kwamba wanaume wa kiafrika ndio viumbe wazuri kuolewa nao. hii ipo. wala sishabikii uzinzi, kwani hao wameoana au wanazini?