7 natural laws of business

Wapi nitaipata hiyo damu ya mwana wa M-mungu?
Chukua ata maji yako ya kunywa...yanenee kwamba unaya badili kuwa damu ya Yesu,kwa imani halafu unanyunyizia eneo lako la biashara ukitamka maneno ya ulinzi na mafanikio katika biashara yako.
 
Bila kutia chochote?
 
Chukua ata maji yako ya kunywa...yanenee kwamba unaya badili kuwa damu ya Yesu,kwa imani halafu unanyunyizia eneo lako la biashara ukitamka maneno ya ulinzi na mafanikio katika biashara yako.
Sawa je kama bidhaa zako ni mbovu na huna kauli nzuri kwa wateja? Nyie nyie mnapotosha watu
 
Sasa mkuu utawekaje bidhaa mbovu?
Pia kumbuka mimi nimemsaidia huyo ndugu jinsi damu ya Yesu inavyotumika.
 
Kuna ngazi tofauti za uelewa ukitaka kujua uelewa wa watu uliza hicho anacho kipigania je anakifahamu vizuri atakwambia hapana waliowengi chanzo cha habari, (source of information), nitoka kwa mtu fulani hata kama ni mpotoshaji kumbuka tunaishi kwenye jamii yenye wapotoshaji,' pessimistic people', watu ambao muda wote wanafurahia matukio mabaya ni waumini wa fikra hasi
 
anzisha darasa, tupo siti ya mbele kufuatilia
 
Nililo andika kwa kimombo dhana inaitwa HARABA Tool, unadhani tafsiri ya kiswahili iweje mdau

HARABA Tool conceptualizing essential traits to help entrepreneurs succeed in business
Kikiwa tayari nistue mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…