7 natural laws of business

Uzi umenikumbusha miaka kama 10 iliyopita Niko na Mzee tunauza grocery kuna vitu baadhi nilikuwa naona ila kuuliza nauchuna sijui ni utoto,

Kwa kipindi hicho glocery zilifunguliwa kama ushindani Kwa mida tofauti lakini haikutoboa hata 1 na wahudumu ni wanaume japo majirani walitumia pisi Kali na vimini vyao,

Kuna kiofisi kingine kama 2016 hesabu zilianza kuvurugika tukachukua hatua za ulinzi nimemaliza kuset kesho yake mida ya mchana namuona mbabu Fulani anakuja kafika mbele ya ofisi kachunguliiia hakuongea chochote akageuza alikotoka

Nashukuru saana Kwa Uzi huu umenikumbusha mengine Mengi kiongozi ubarikiwe, NAANZA SASA
 
Hatua gani za ulinzi uliset?
 
Tanzanian Dream kwa kiwango kikubwa cha uzoefu na enlightenment level uliyopo....why usianzishe back up organization mkuu
 
Tanzanian Dream kwa kiwango kikubwa cha uzoefu na enlightenment level uliyopo....why usianzishe back up organization mkuu
 
Mimi naamini kabisa biashara ni kiroho zaidi, nilishawahi kupigwa hasad (evil eye) kwenye biashara, yaani wateja wanakupita kamà jiwe vile, mwisho nikafunga. Hiyo ilikuwa ni baada ya watu wawili kunitamkia kwamba "yaani jengo zima wewe ndio unaongoza kwa kuuza". Laiti ningelijua hii siri ya damu ya Mwana wa Mungu mapema.
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…