7 natural laws of business

Benny Haraba Kama hutojali elezea hizo condensed traits japo kwa ufupi.
 
Benny Haraba Kama hutojali elezea hizo condensed traits japo kwa ufupi.
Usijali nitazielezea baadae kidogo kwa ufafanuzi mzuri na hizi ndiyo tabia muhimu sana kuwezesha kufanya biashara hata mimi kabla sijajifunza elimu ya ujasiriamali nilijidai kwamba mimi ni fundi mzuri wateja watakuja tu, kumbe siyo kweli

Hata hivyo humu nilisha zielezea kuna mdau nilimjibu, mimi siyo mpenzi wa kuanzisha uzi
 
Nakutunuku tunzo ya β€œheshima” mkuu. Ni madini hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…