7 natural laws of business

Tunashukuru sanaa
 
Hapo kwenye next move aseee ukimshinda shetani ukafanikiwa kukafanya kimya kimya mambo yanaenda vema kabisa, shida inaanza kushare dah kuna watu ukishirikisha tuuuu umeharibu
 
Noted with thanks 🤝, ubarikiwe kwa elimu.....
 
mi sikubaliani nae naamini hela inatafutwa kwa kutumia akili
Hujanielewa mkuu nimekwambia not even wrong.

Yani kuna wrong halafu kuna less than wrong haijafikia hata wrong, ndiyo maana ikawa not even wrong.

Not even wrong haijafikia hata kiwango cha kupimika ikawa wrong, wrong ina afadhali inapimika tunajua makosa yako wapi tunaweza kusahihisha.

Not even wrong ndiyo hayo ma spirit sijui madudu gani ambayo hata hayapimiki.

Not even wrong.
 
Hapo nimekusoma
 
Bro unamiliki biashara yoyote iliyofanikiwa? At least iwe ina ten years survivor at peak?
Swali je unafahamu yaliyojificha nyuma ya pazia kwanini biashara zinakufa na hatuna uwezo wa kuzuia endapo jamii itaendelea kukaa kimya, yaani jamii ya kanyaga twende, (jamii ya bora liende)

1. Maamuzi ya kisiasa-maamuzi ya kisasa yanaweza sababisha biashara zikue ama kufa

2. Serikali iliyoko madarakani jinsi ilivyo jipanga kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja- je serikali za kiafrika zimejipanga kufanya hivyo?

3. Mabadiliko ya teknolojia-matumizi ya teknolojia hurahisisha uendeshaji wa biashara, matumizi ya mtandao yamerahisha biashara na mahusiano, (networking), hapa kwenye teknolojia kuna changamoto wengi wetu hatuna ujuzi wa kukabiliana na mabadiliko ya teknolojia

4. Social demographic valuables-aina ya watu wanao lizunguka eneo la biashara yako, (your maping area), hapo hujumuisha elimu yao na shughuli mbambali wanazo jishughulisha, hivyo kuweza kuchagiza mafanikio ya biashara mbali mbali kwenye eneo husika

Hitimisho jamii kama itaendelea kunyamaza kuhusu changamoto zinazosababishwa na hayo yaliyo jificha, biashara zitaendelea kupata changamoto

Maoni
Asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanategemea mjasiriamali na asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayomzunguka
Hayo yaliyojificha ambayo mfanyabiashara huna mamlaka nayo ndiyo hiyo asilimia 20, ambayo mimi nimegundua kwamba ina nguvu hata kuua biashara kwasababu jamii imenyamaza
The entrepreneur and his environments, mjasiriamali na yanayomzunguka

Silence surrenders public responsibilities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…