70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na wengi wao Wanaishi maeneo ya Tabata Segerea, Banana Gongo la Mboto, Kimara Bonyokwa, Mbezi Makabe, Tegeta, Salasala, Mbagala Kipati, Bunju B, Mabwepande, Ubungo Maji, Yombo, Kawe Ukwamani, Mbezi Beach ya kwa Maua hadi ile ya Makonde upande wa kuelekea Baraza la Mitihani, Buza, Msasani mkabala na Uwanja wa Magunia, Mwananyamala,
Buguruni Malapa na Kinondoni Studio.

Sasa ndiyo uwe umepanga kwenda Kumtembelea na Kufanya nae Uzinifu wa Kibaiolojia umkute ana Godoro lake Futi 1 kwa 3 Magoti yako yatasugulika Sakafuni mpaka Ngozi Kubamduka.

Wanaume tujitahidini kuanzia sasa tukitongoza tuwe tunauliza Mazingira ya wanapoishi kwani kuna uwezekano ukaenda huko ukiwa mzima ila ukitoka lazima Magoti yako yatakuwa na Bandage au Umebandika Plasta kwa Kuchubuka Kwake Sakafuni wakati wa Kubaiolojiana nae Kwake ( Ghettoni ) alikopanga.

Najuta.....!!!!!!!!
 
Umesema kweli ndugu. Na usiombe ukutane nao sehemu za starehe au kwenye ma mall huko. Jinsi wanavyonata unaweza sema wanaishi mbinguni. Ukipanga nao miadi hata siku moja hawakwambii uafuate makwao; ni aidha nyumbani kwa rafiki ama njiani. Na wao hujifanya ni mwiko kupanda daladala au bodaboda wakiwa wanakuja kwako; wanataka wa request UBER.

Ila sasa usiombe ukutane nao kwenye mishe zao binafsi, wanajuaga mpaka kuingilia dirishani kwenye daladala za kugombania.

Kipimo cha mademu design hii, ukiwakaribisha kwako au hata hotel jambo la kwanza wanalofanya ni kupiga picha mfululizo kila angle na kupost chilling at home au living large. Hii huwa ni reference ya kuhalalisha maisha yao fake ya mtandaoni.

Na kama ni kwako umemkaribisha, atagoma kuondoka. Utakaona kamejilaza kwenye sofa kanabadilisha channel za tv, huku kamevaa tshirt yako bila ya chupi. Hakajali ni Jumatatu, siku ya kazi. Kenyewe kanazuga zuga tu ukaache hapo. Utasikia baby ukirudi niletee ice cream, kama vile kanaishi hapo.

Kakiondoka lazima kaache japo chupi, ukitahamaki kamehamishia nguo zake zote kwako na tayari kamehamia hapo.
 
Umesema kweli ndugu. Na usiombe ukutane nao sehemu za starehe au kwenye ma mall huko. Jinsi wanavyonata unaweza sema wanaishi mbinguni. Ukipanga nao miadi hata siku moja hawakwambii uafuate, na wao ni mwiko kupanda daladala au bodaboda; wanataka wa request UBER. Ila sasa usiombe ukutane nao kwenye mishe zao binafsi, wanajuaga mpaka kuingilia dirishani kwenye daladala za kugombania.

Kipimo cha mademu design hii, ukiwakaribisha kwako au hata hotel jambo la kwanza wanalofanya ni kupiga picha mfululizo kila angle. Hii huwa ni reference ya kuhalalisha maisha yao fake ya mtandaoni.
Na kama ni kwako umemkaribisha, atagoma kuondoka. Utakaona kamejilaza kwenye sofa kanabadilisha channel za tv, huku kamevaa tshirt yako bila ya chupi. Hakajali ni Jumatatu, siku ya kazi. Kenyewe kanazuga zuga tu ukaache hapo.
Kakiondoka lazima kaacha japo chupi, ukitahamaki kamehamishia nguo zote kwako na tayari kamehamia hapo.
umetuonea tu mkuu

ila mungu anakuona

😂😂😂
 
Na wengi wao Wanaishi maeneo ya Tabata Segerea, Banana Gongo la Mboto, Kimara Bonyokwa, Mbezi Makabe, Tegeta, Salasala, Mbagala Kipati, Bunju B, Mabwepande, Ubungo Maji, Yombo, Kawe Ukwamani, Mbezi Beach ya kwa Maua hadi ile ya Makonde upande wa kuelekea Baraza la Mitihani, Buza, Msasani mkabala na Uwanja wa Magunia, Mwananyamala,
Buguruni Malapa na Kinondoni Studio.

Sasa ndiyo uwe umepanga kwenda Kumtembelea na Kufanya nae Uzinifu wa Kibaiolojia umkute ana Godoro lake Futi 1 kwa 3 Magoti yako yatasugulika Sakafuni mpaka Ngozi Kubamduka.

Wanaume tujitahidini kuanzia sasa tukitongoza tuwe tunauliza Mazingira ya wanapoishi kwani kuna uwezekano ukaenda huko ukiwa mzima ila ukitoka lazima Magoti yako yatakuwa na Bandage au Umebandika Plasta kwa Kuchubuka Kwake Sakafuni wakati wa Kubaiolojiana nae Kwake ( Ghettoni ) alikopanga.

Najuta.....!!!!!!!!
Kidume kakata minyororo.........
Demu mkali anakojoa kwenye kopo
 
Sehemu za starehe sio za kutafuta mwanamke wa maana sio rahisi kumpata asilimia kubwa maruhuni hata umuone ana sura ya malaika akiongea kwa upole kama mtoto wa malaika na kutembea minenguo ya mwendo pozi kama Twiga ni Pepo binti shetani kaa naye mbali
 
Mimi huwa naogopa wanawake wanaopendeza sana wanaotumia simu za thamani kubwa nywele za bei mbaya na muonekano wa thamani kwa kudhani siyo hadhi yangu

Inawezekana nakosea na ninakosa starehe za dunia lakin pia inanipa nafasi ya kutengeneza msingi wa maisha yangu maana kuwahudumia wao ni gharama maana wanapenda kushindana na watu mitandaoni
 
Back
Top Bottom