Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Nimeshangaa pia.Mwanaume unaenda vipi getoni kwa demu ? Kodi umemlipia wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa pia.Mwanaume unaenda vipi getoni kwa demu ? Kodi umemlipia wewe?
Dah umenikumbusha, kuna demu nilikutana nae kiwanja, aisee anaongea kiupole lakini bonge la jambazi, shortly nilitaga pita, nikapita nae, now simu haziishi, nimeamua kumblock mazima,Sehemu za starehe sio za kutafuta mwanamke wa maana sio rahisi kumpata asilimia kubwa maruhuni hata umuone ana sura ya malaika akiongea kwa upole kama mtoto wa malaika ni Pepo binti shetani kaa mbali
Umesema kweli ndugu. Na usiombe ukutane nao sehemu za starehe au kwenye ma mall huko. Jinsi wanavyonata unaweza sema wanaishi mbinguni. Ukipanga nao miadi hata siku moja hawakwambii uafuate makwao; ni aidha nyumbani kwa rafiki ama njiani. Na wao hujifanya ni mwiko kupanda daladala au bodaboda wakiwa wanakuja kwako; wanataka wa request UBER.
Ila sasa usiombe ukutane nao kwenye mishe zao binafsi, wanajuaga mpaka kuingilia dirishani kwenye daladala za kugombania.
Kipimo cha mademu design hii, ukiwakaribisha kwako au hata hotel jambo la kwanza wanalofanya ni kupiga picha mfululizo kila angle. Hii huwa ni reference ya kuhalalisha maisha yao fake ya mtandaoni.
Na kama ni kwako umemkaribisha, atagoma kuondoka. Utakaona kamejilaza kwenye sofa kanabadilisha channel za tv, huku kamevaa tshirt yako bila ya chupi. Hakajali ni Jumatatu, siku ya kazi. Kenyewe kanazuga zuga tu ukaache hapo. Utasikia baby ukirudi niletee ice cream, kama vile kanaishi hapo.
Kakiondoka lazima kaache japo chupi, ukitahamaki kamehamishia nguo zake zote kwako na tayari kamehamia hapo.
Poti pole sana kwa yaliyokukuta. Ila ni baada ya kubailojiana naye ndiposa ukagundua kwamba kumbe mko sakafuni!Na wengi wao Wanaishi maeneo ya Tabata Segerea, Banana Gongo la Mboto, Kimara Bonyokwa, Mbezi Makabe, Tegeta, Salasala, Mbagala Kipati, Bunju B, Mabwepande, Ubungo Maji, Yombo, Kawe Ukwamani, Mbezi Beach ya kwa Maua hadi ile ya Makonde upande wa kuelekea Baraza la Mitihani, Buza, Msasani mkabala na Uwanja wa Magunia, Mwananyamala,
Buguruni Malapa na Kinondoni Studio.
Sasa ndiyo uwe umepanga kwenda Kumtembelea na Kufanya nae Uzinifu wa Kibaiolojia umkute ana Godoro lake Futi 1 kwa 3 Magoti yako yatasugulika Sakafuni mpaka Ngozi Kubamduka.
Wanaume tujitahidini kuanzia sasa tukitongoza tuwe tunauliza Mazingira ya wanapoishi kwani kuna uwezekano ukaenda huko ukiwa mzima ila ukitoka lazima Magoti yako yatakuwa na Bandage au Umebandika Plasta kwa Kuchubuka Kwake Sakafuni wakati wa Kubaiolojiana nae Kwake ( Ghettoni ) alikopanga.
Najuta.....!!!!!!!!
Darlin[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hakuna mtu hapendi raha mkuu
Waache wajishaue
I mean tuache tujishauwe
Mkuu yaani nimecheka mpaka Mbavu zangu zinaniuma sasa kwani umesema Ukweli wa 99.9999% juu ya hawa Mademu.Umesema kweli ndugu. Na usiombe ukutane nao sehemu za starehe au kwenye ma mall huko. Jinsi wanavyonata unaweza sema wanaishi mbinguni. Ukipanga nao miadi hata siku moja hawakwambii uafuate makwao; ni aidha nyumbani kwa rafiki ama njiani. Na wao hujifanya ni mwiko kupanda daladala au bodaboda wakiwa wanakuja kwako; wanataka wa request UBER.
Ila sasa usiombe ukutane nao kwenye mishe zao binafsi, wanajuaga mpaka kuingilia dirishani kwenye daladala za kugombania.
Kipimo cha mademu design hii, ukiwakaribisha kwako au hata hotel jambo la kwanza wanalofanya ni kupiga picha mfululizo kila angle. Hii huwa ni reference ya kuhalalisha maisha yao fake ya mtandaoni.
Na kama ni kwako umemkaribisha, atagoma kuondoka. Utakaona kamejilaza kwenye sofa kanabadilisha channel za tv, huku kamevaa tshirt yako bila ya chupi. Hakajali ni Jumatatu, siku ya kazi. Kenyewe kanazuga zuga tu ukaache hapo. Utasikia baby ukirudi niletee ice cream, kama vile kanaishi hapo.
Kakiondoka lazima kaache japo chupi, ukitahamaki kamehamishia nguo zake zote kwako na tayari kamehamia hapo.
Na ndiyo maana wengine kwa Kuwakomoa zaidi kwa Upuuzi wao tukiwa nao tunaamua kupita nao barabara zote za Lami na Vumbi ili Wakome na Wakasimulie vyema huko Vijiweni Kwao ( Mwao )Sio dar tu..mademu wengi wakishaitwa warembo basi ni full mashauzii...ndo maana nkishawalala sinaga muda nao tena naweka toleo jingine kama ilivyo cm za infinix
MkuuDarlin
Kwahiyo ulitaka baada ya kwenda Kwake na kukuta analala Sakafuni na Godoro lake ndiyo nisimbandue? Nyege zangu angezimaliza Mkeo?Poti pole sana kwa yaliyokukuta. Ila ni baada ya kubailojiana naye ndiposa ukagundua kwamba kumbe mko sakafuni!
Vp Tena mkuu uliambiwa anakaa Ada estate nn[emoji23][emoji23][emoji23]Hujataja Kinondoni shamba, yamenikuta.
Dah...."Aisifiae mvua imemyea" - Wahenga 17:36 🤣🤣🤣Kidume kakata minyororo.........
Demu mkali anakojoa kwenye kopo
Dah....wewe haumo...na ninaweza kulithibitishia hili jukwaa...kwa ushahidi 🤣🤣🤣🤭umetuonea tu mkuu
ila mungu anakuona
😂😂😂