70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

Umesema kweli ndugu. Na usiombe ukutane nao sehemu za starehe au kwenye ma mall huko. Jinsi wanavyonata unaweza sema wanaishi mbinguni. Ukipanga nao miadi hata siku moja hawakwambii uafuate makwao; ni aidha nyumbani kwa rafiki ama njiani. Na wao hujifanya ni mwiko kupanda daladala au bodaboda wakiwa wanakuja kwako; wanataka wa request UBER.
Ila sasa usiombe ukutane nao kwenye mishe zao binafsi, wanajuaga mpaka kuingilia dirishani kwenye daladala za kugombania.

Kipimo cha mademu design hii, ukiwakaribisha kwako au hata hotel jambo la kwanza wanalofanya ni kupiga picha mfululizo kila angle na kupost chilling at home au living large. Hii huwa ni reference ya kuhalalisha maisha yao fake ya mtandaoni.
Na kama ni kwako umemkaribisha, atagoma kuondoka. Utakaona kamejilaza kwenye sofa kanabadilisha channel za tv, huku kamevaa tshirt yako bila ya chupi. Hakajali ni Jumatatu, siku ya kazi. Kenyewe kanazuga zuga tu ukaache hapo. Utasikia baby ukirudi niletee ice cream, kama vile kanaishi hapo.
Kakiondoka lazima kaache japo chupi, ukitahamaki kamehamishia nguo zake zote kwako na tayari kamehamia hapo.
.... Baby ukirudi niletee ice-cream... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah
 
Aaaah utakua unaongopa tuuu toa hio Note 20 plus na viatu vyenu vya manyoya nyonya upo zako fishmonger..ukisalimiwa..unanyali watu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki nmecheka [emoji23][emoji23] yuko zake anaangalia sea view ya Slipway mixer Double tree
 
Mkuu Genta! Kwa heshima na taadhima naomba ueleze hao watu wapo Sala sala ipi mkuu! Maana Salasala tunakaa watu na heshima zetu mkuu!
Salasala yote tu tena kuna Demu anakaa hiyo Salasala yenu ( ya Ushuani ) sina hamu tena kwani nimetoka Kumbandua tu Siku Tatu baadae Mgeni Gono akanikaribia ila kwakuwa Mimi tayari ni Dawa ( GENTAMYCINE ) huyo Mgeni akanikimbia Mwenyewe kwa Kuniogopa.

Tena Umenichokoza kuhusu Mademu wa huko Ushuani Kwenu Salasala ni Vikojozi sana Vitandani na 75% ukiwa Unawabandua Wanajamba mno sijui kwanini.

Kuna Nyumba jirani na hapo ( hiyo ) ya Mzee Augustino Lyatonga Mrema hapo Salasala ( Ushuani Kwenu ) kuna Demu sina hamu nae tena kwani nilivyokuja Kumbandulia hapo hapo Kwao ( Wazazi wake wakiwa hawapo ) kabaki Yeye, Mlinzi na Mbwa Wao......... naomba niishie tu hapa, ila sina hamu na hiyo Salasala yenu Mkuu.
 
Umesema kweli ndugu. Na usiombe ukutane nao sehemu za starehe au kwenye ma mall huko. Jinsi wanavyonata unaweza sema wanaishi mbinguni. Ukipanga nao miadi hata siku moja hawakwambii uafuate makwao; ni aidha nyumbani kwa rafiki ama njiani. Na wao hujifanya ni mwiko kupanda daladala au bodaboda wakiwa wanakuja kwako; wanataka wa request UBER.

Ila sasa usiombe ukutane nao kwenye mishe zao binafsi, wanajuaga mpaka kuingilia dirishani kwenye daladala za kugombania.

Kipimo cha mademu design hii, ukiwakaribisha kwako au hata hotel jambo la kwanza wanalofanya ni kupiga picha mfululizo kila angle na kupost chilling at home au living large. Hii huwa ni reference ya kuhalalisha maisha yao fake ya mtandaoni.

Na kama ni kwako umemkaribisha, atagoma kuondoka. Utakaona kamejilaza kwenye sofa kanabadilisha channel za tv, huku kamevaa tshirt yako bila ya chupi. Hakajali ni Jumatatu, siku ya kazi. Kenyewe kanazuga zuga tu ukaache hapo. Utasikia baby ukirudi niletee ice cream, kama vile kanaishi hapo.

Kakiondoka lazima kaache japo chupi, ukitahamaki kamehamishia nguo zake zote kwako na tayari kamehamia hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yamewahi kukukuta mambo, lol
 
Sasa hujakutana na wale ambao wanajifanya hawaijui miogo, utawasikia ".....yaani mimi tumbo langu nikila miogo lina unguruma.........".

Sasa ubahatike umfumanie kwenye maisha yake halisi asubuhi kapanga foleni na bakuli lake,halafu anampigia kelele muuzaji "........kila siku nikija unaichelewesha miogo yangu, hebu niwekee ya buku haraka.......".

Ukimuliza "...baby wewe si ulagi miogo....tumbo litaunguruma........",atazuga "......mimi leo tu basi nilikuwa na hamu ya miogo......",hamu ya miogo MIOGO YA BUKU !!!!!.....manake miogo ya buku ni mlima, unaweza ukaua winga asubuhi na mchana, ukipiga kombe lako la maji unapiga miluzi unaitafuta usiku.

Sasa yy miogo ya buku kwake ni mlo mmoja wa asubuhi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mnafunguka humu ndani.
 
Back
Top Bottom