70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1430][emoji1430][emoji1430]Haki mkuu umenichekesha mnoo mnatuonea bhana
Mwamba kaongea ukweli mtupu😅
 
Jamani mkitaka kubaolojiana so nendeni mahoteli huko. Sio heshima kumla mtu Tena home kwake, hii haijakaa sawa.
Hahahahah unakuta umem drop sana njiapanda siku moja unaamua umsindikize kwa mguu mpaka ndani balaa linakuja hapo .

Mnaweza kuacha gari kwa dakika 10 wakati mnakula chochoro za hatari! Yani hadi mtoboe geto mmehatarisha maisha sana kwa wajuba.
 
Dah umenikumbusha, kuna demu nilikutana nae kiwanja, aisee anaongea kiupole lakini bonge la jambazi, shortly nilitaga pita, nikapita nae, now simu haziishi, nimeamua kumblock mazima,

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ndio dawa yao hao ving’ang’a yani😅 demu unamtia bata la laki 3 anakuona potential husband full usumbufu.
 
Hahahahah unakuta umem drop sana njiapanda siku moja unaamua umsindikize kwa mguu mpaka ndani balaa linakuja hapo .

Mnaweza kuacha gari kwa dakika 10 wakati mnakula chochoro za hatari! Yani hadi mtoboe geto mmehatarisha maisha sana kwa wajuba.
Hahaha hatare sana, Basi mtupangishie masaki
 
Lakini kwa nini uende kwake? Si wewe umpeleke kwako!?
Kwako kashakuja mara kibao mnapoamua kuchenji venue sasa! Demu anakaa mazingira mabovu kweli yani😅 ila ukimuona anga zake za ulaji bata unaweza hisi mwanamke sindio huyu.
 
Tutawapangishia wangapi sasa maana maslay queen ndio mnaongoza kwa kukaa mageto ya ef 80 tena wengine mnakaa kwa mafungu kama soseji za Beef Vienna.[emoji23]

Ila mkiwa mmebandika makucha na mikope ni kubugia savana na desperado tu. Eti bia local mie sinywagi[emoji23]
Hahaha mkuu dunia Ina maajabu Sana,,bia local sinywagi wakati mtu analala chini au analala kwa mafungu.

Nadhani tunatotofautiana akili na uelewa tu.
 
Ulienda mitaa ya Brazil ....hahaa dah utasikia nakaa kinondoni studio, halafu unamuona anatokea bondeni vichochoroni kuja kuibukia studio.

Mkuu GENTAMYCINE umewasahau wa kijitonyama kwa ali maua, kinondoni Moscow, mwananyamala na Tandale yote.
Hahahahahahah Sharaut kwa wote wa bonde la mpunga kule😂😂😂 ila anajifanya anakaa Kawe
 
Na ndiyo maana wengine kwa Kuwakomoa zaidi kwa Upuuzi wao tukiwa nao tunaamua kupita nao barabara zote za Lami na Vumbi ili Wakome na Wakasimulie vyema huko Vijiweni Kwao ( Mwao )
Mkuu unaamua kuwafir* kabisa? Angalia usije ukafulishwa mashuka ya lodge..hahaaa
 
H
Tutawapangishia wangapi sasa maana maslay queen ndio mnaongoza kwa kukaa mageto ya ef 80 tena wengine mnakaa kwa mafungu kama soseji za Beef Vienna.😂

Ila mkiwa mmebandika makucha na mikope ni kubugia savana na desperado tu. Eti bia local mie sinywagi😂
Halafu huwa hawalewi...utamnywisha hata savannah /heineken/windhoek za laki ila yupo macho makavu dadeki. Wezi hatari watchout ukimkaribisha home kwako.
 
H

Halafu huwa hawalewi...utamnywisha hata savannah /heineken/windhoek za laki ila yupo macho makavu dadeki. Wezi hatari watchout ukimkaribisha home kwako.
Hahahahah hakawilii kuondoka na saa yako moja😅 utashangaa haipo tu! Aisee hizo mama za kuokoteza kwenye ma Bar mie siziwezagi
 
Back
Top Bottom