Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
mkuu, matokeo ngapi ngapi kwa ngapi? yanga alishinda goli ngapi?
Yanga 2-0 Mtibwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu, matokeo ngapi ngapi kwa ngapi? yanga alishinda goli ngapi?
Aisee hii ikitokea ni sawa na wewe kubadili kabila, Simba ndo timu pekee hata ikiwa mbovu namna gani nitaendelea kuishabikia japo hata kimoyo moyo.

Unaukumbuka wimbo wa Twanga Pepeta wa mtu pesa. 'Simba nimeipenda mwenyewe, hata ikishuka daraja nitaenda nayo', au kile kibwagizo kingine sijui ni kutoka kwenye wimbo gani. 'Simba ninavyoipenda ila sitakunywa sumu juu yake' halafu unamalizia na msaga sumu. Ninaipenda Simba shabiki wa damu.
Ikifa, utakufa nayo?
ndo tatizo la kuwa close sana na Bantu Lady,maswali ya kitoto kabisa,Simba itakufaje sasaIkifa, utakufa nayo?
ndo tatizo la kuwa close sana na Bantu Lady,maswali ya kitoto kabisa,Simba itakufaje sasa

Unauliza itakufaje!!!! itakufa hivyo hivyo kama unavyoiona kwenye msimamo wa ligi, kwani ipo nafasi ya ngapi!? Itakufa baada ya kushuka daraja.
hiv simba iko namba ngapi vile msimamo wa ligi mwenye uwezo wa kuweka msimamo wa ligi ni vyema zaidi loh

Nafasi ya 12.
Aisee hii ikitokea ni sawa na wewe kubadili kabila, Simba ndo timu pekee hata ikiwa mbovu namna gani nitaendelea kuishabikia japo hata kimoyo moyo.
Unaukumbuka wimbo wa Twanga Pepeta wa mtu pesa. 'Simba nimeipenda mwenyewe, hata ikishuka daraja nitaenda nayo', au kile kibwagizo kingine sijui ni kutoka kwenye wimbo gani. 'Simba ninavyoipenda ila sitakunywa sumu juu yake' halafu unamalizia na msaga sumu. Ninaipenda Simba shabiki wa damu.
ndo tatizo la kuwa close sana na Bantu Lady,maswali ya kitoto kabisa,Simba itakufaje sasa
Hahahahahhaaaa halafu ID yako ishapitwa na wakati, ibadili haileti maana kwasasa. Tatizo lako hufikirii ya mbali, akili zako fupi kama maisha ya funza.
Tatizo lako lingine ni kufuata akili za Komeo lachuma, yule mwenzako fyatu kabisa. Ila Yanga kiboko yake, sasa hivi anaugulia maumivu, watu wanambembeleza kwa kumpakata tu.
Kama viongozi watimu yake akilimoja ilampwangu huyubantumpotezeeeeee weraaaaweraaaa bamtulismmmmm:canada:Hahahahahhaaaa halafu ID yako ishapitwa na wakati, ibadili haileti maana kwasasa. Tatizo lako hufikirii ya mbali, akili zako fupi kama maisha ya funza.
Tatizo lako lingine ni kufuata akili za Komeo lachuma, yule mwenzako fyatu kabisa. Ila Yanga kiboko yake, sasa hivi anaugulia maumivu, watu wanambembeleza kwa kumpakata tu.
Akiendataifa anaondoka aujaisha sembusehumu najaribikumsaidia timuipi yakuhahamia weraaaweraaaaaa. OBSAkili za mbali azipate wapi huyo mbumbumbu wa kule Bunju!!!!! Hakujua kuwa maisha yanabadilika badilika, sasa anaona aibu hata kubadili ID yake.
Umeenda kabila gani vile?Aisee!!! Acha mimi nibadili kabila, wewe uje Yanga. Unaonaje hii?