8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

mmhh... haya maneno mdomo uliponza kichwa. wewe leo hii ndo unatamba hapa ukijifafanisha na scania? haya we scania mi nimezoea kuendesha train na meli za mizigo scani yenyewe hii automatic? ujue unaponiita mi kikaragosi chako maana yake pia unanitumia kama toy? si ndiyo matoy siku wadada wanayapenda sana na hata yana bei pia.ni mazuri,salama,n.k mi nadhni tusihangaike kuandikia wino wakat mate yapo. jumamosi kama kawaida yangu naangalia mpira huku nimekupakata pembeni unapata kinywaji taratibu. halafu kwa nini unadhalilisha youngsharo ? yaani yeye ndo apakatwe kwa niaba yako? mmhh... nyie mayanga mna mambo. nadhani atakuwa amekusikia kuwa aje kupakatwa badala ya wewe dada yake. yaana maara hii bantu umeshaanza kujiona we ni matawi ya juu? wakati mambo meng tumekufundisha sisi wenyewe? kweli alalaye usimwamshe.haina shida. mi sina maneno meng usiombe kusaidiwa na mtu, usiombe pooh. jiandae tu siku si nying .... wanasema he loves better who laughs at the end.mi ntasubiria tu nikupe haki yako...
 
Back
Top Bottom