Sasa mkuu
Masuke nimekuwekea full nondo, jina langu nitaitwa Nshoma.
Upande wa baba itakuwa Jongh'eka na upande wa mama ni Ngh'ungulu hata kutamka siwezi hahahahahaaaa!!!
Haya mila sasa huwa wanapiga magoti wakati wa kusalimia eeh, mdogo kumuanza kumsalimia mkubwa, mnatambika na kulima kwa ng'ombe.
Pia huwa mnao mke zaidi ya mmoja sijui hii inakuaje aah.
Halafu sijui naanza jisikiaje, miye kuwa msukuma aaah kama sitaki vile. Hivi naanzaje kuhama kabila kwanza hahahaaaa.
Ila karibu Yanga na ndio tayari kuanzia leo Masuke ni Yanga, nimeshakamilisha usajili hapo juu!!!