Yanga –Mtibwa Sugarpreview and Live updates
Habari ya mchana wajameni,
Jana tuliangalia mpira kati ya Simba na Coast ambapowalitoka suluhu ya 0-0
Leo basi ni kati ya timu ingine kubwa ya Yanga wakimenyanana Mtibwa sukari
Timu hizi mbili za Simba na Yanga ni timu kongwe hapainchini na moja katika timu zinazoongoza kwa kutwaa ubingwa mala nyingi.
Timu hizi husajili wachezaji wa kulipwa, cha kushangaza hazionyeshi kitu cha ziada tofauti na timu zingine ambazo hazina fursa hiyo kutokana na kukosa wafadhiri na pesa
Vile vile leo ndiyo finali ya nchi za mataifa huru ya Afrika huko Guinea ya Ikweta fainali ambazo Tanzania ilishiriki mala ya mwisho mwaka1980 huko Nigeria.
Ukiangalia mpira wa jana kati ya Simba na Coast ambapo miongoni mwa wachezaji hao kocha huchagua timu ya taifa ambayo mwisho wa siku tunategemea watuwakilishe na sisi katika fainali hizo wewe mtazamaji uliona mwenyewe, unaweza kutafakari kwa mpira ule kweli kuna mategemeo ya kushiriki fainali hizo siku za usoni?
TFF imeruhusu timu zisajili wachezaji wa kulipwa wasiozidi watano, sasa je kwa uchezaji wa wachezaji hao wanaoitwa Maproo je wana uwezomkubwa kuzidi wachezaji wetu wa ndani?
Sasa nini kifanyike kukuza vipaji kwa wachezaji wetu wandani ili waweze kupeperusha bendera ya taifa letu ili na sisi wimbo wetu wataifa uweze kusika inje ya mipika yetu?
Ni imani yangu TFF wanatembelea humu na watachukua maoni yenu
Bado Nusu saa mpira utaanza na nitakuwa na nyie mchana huu nikiwaletea live coverage.
Ni mimi ebaeban