8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

Msuva unataka tuwe wakiwa kama mikia jana walivyosusa jukwaa.
 
Kitaeleweka tu mtibwa hatoki uwanja wa taifa…ingawa bado foward ya timu yetu ya wananchi haijakaa vizuri bado!
 
Watangazaji wa azam tv ni janga la kitaifa, yaani sijui pale azam tv media Limited wanatumia vigezo gani kuajiri hawa makanjanja wao.
 
Back
Top Bottom