youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Dakika Ya 25 0_0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana umeumia mbele ya coast union na leo tena unataka uumie tena!!!? Yanga 3-0 mtibwa + mikia.
kinyume chake ndo itakuwa hivyo tena.
Sharma buuuuh,tambwe buuuhDakika Ya 18 0_0
Ball posession Mtibwa 70%-Yanga 30%Dakika 35 0_0
Huyu msuva ananini?
Yanga inapumulia machine,mtangazaji anakata tamaa hapa
Ball posession Mtibwa 70%-Yanga 30%
Msuva unataka tuwe wakiwa kama mikia jana walivyosusa jukwaa.
Watangazaji wa azam tv ni janga la kitaifa, yaani sijui pale azam tv media Limited wanatumia vigezo gani kuajiri hawa makanjanja wao.
Ball posession Mtibwa 70%-Yanga 30%