Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo tafadhali, yanga hajalishwa tu miwa ya mtibwa??
Paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!,huku kwetu yanga 1-0 mtibwa. vipi huko kwenu.
Katavi
Hizo ndoto
Matokeo tafadhali, yanga hajalishwa tu miwa ya mtibwa??
Goooool Mrisho Ngasa!
Ngasa anatupia
Gooooooooooooo,yanga 1,mtibwa 0
Paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!,huku kwetu yanga 1-0 mtibwa. vipi huko kwenu.