8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

so mpira ukiisha hivi NdaLa ndio bingwa au? msaada tafadhali
 
Muda si mrefu mikia watapotea humu. Kesho utasikia wanataka Mkutano mkuu wa club. Safari hii mkafanyie Bunju kabisa. Mjini hatutaki fujo.

ndala fc kwa kuchonga.....!!!
 
Aahaaaa namuona mwigulu nchemba meno 32 yote njee mikia haoo wanakimbia
 
2ea1448e88ac716ccee52cc0889fd57b.jpg
chama la ukweli
 
Mtibwa tapwatapwa hapa taifa, timu ya wananchi inapiga mpira mkubwa.
 
Mwigulu kiti hakikaliki kwa furaha kweli mtibwa kapoteana.
 
Hii game ilikuwa ya kushinda hata goli 6
 
Huyu kuburu ndo nn kupepesa macho namna hii????mikia achen ulozi
 
Back
Top Bottom