Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana mikia wameadimika balaa.
ha ha ha ha...unamuulizia sister ako Bantu lady
Dk 85
Yanga 2 - 0 Mtibwa
Ha ha ha haah,,,,,ndio nimemmic dada yangu.
Mwigulu kiti hakikaliki kwa furaha kweli mtibwa kapoteana.
Wana mikia wameadimika balaa.
Yanga kama Barcelona.!Mpira uko vipi kwa ujumla?? Butua butua au mtibwa wanatandaza soka la kitabuni??
Dk 85
Yanga 2 - 0 Mtibwa
Yanga kama Barcelona.!