80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Hayo ni mawazo ya mwanamke mvivu na asiyejimbua. Nani amesema mwanamke ataishi kwa kumtegemea mwanaume? Kwa hivyo sisi tunakua wazazi wa pili, baada ya baba na mama yako?
 
Mleta mada umeongea ukweli kabisa. Hali ya wanawake kuleta maombi ya kwanza haraka sana mahusiano yanapoanza inakera sana. Hata hamjawa na wiki toka mmekubaliana kuwa na mahusiano analeta bili za saloon 70,000, hujakaa sawa kodi ya miezi sita 3m, hujajielewa mtoto hajalipiwa ada (wakati baba yake siyo wewe), mara nitumie 50,000 ya vikoba etc.

Na zote hizo tuma na ya kutolea... Afadhali mahusiano yafe tu tumechoka
 
Unawajua wadada unaosema wana kazi?Fanya utafiti kidogo.
utafiti uchwara..

kwa msaada tu achana na wanawake wasiokuwa na kazi… huwawezi

akina miss buza mbona wapo tu, hao ndo size yako, hawana saloon service za gari wala mafuta

wengine achia wenye pesa zao..

mwanaume halii lii hovyo, jikaze
 
Naunga mkono hoja. Hawa wanawake ni ombaomba sana.

Nje ya mada , ndani ya mada kuna shemeji yangu ananiomba sana, mpaka ghetto nimempangia ila nikimwomba mzigo anasema atakuwa ametenda kosa kubwa la kunivunjia heshima mimi na dada yake.

Sasa heshima gani anaitaka huyu huku hata pesa ananiomba kisirisiri?
 
Chakata kimasihara Mkuu
 
Ilibidi umle kisirisiri pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…