80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Tatizo ni mfumo wa kijamii unaofanya wanaume wengi kushindwa kumudu maisha ya kujitegemea na kushindwa kuoa hata mke mmoja, na pia unafiki wa kuiga mambo ya kimagharibi ya ndoa za mke mmoja na mambo ya usawa wa kijinsia. Kimsingi wanawake wote wanatakiwa kuishi kwa kuwategemea wanaume, sasa wanaume wanapoanza kulialia ni kuonyesha udhaifu mkubwa maana mchawi ni wao wenyewe na siyo hao wanawake........​
Hayo ni mawazo ya mwanamke mvivu na asiyejimbua. Nani amesema mwanamke ataishi kwa kumtegemea mwanaume? Kwa hivyo sisi tunakua wazazi wa pili, baada ya baba na mama yako?
 
Mleta mada umeongea ukweli kabisa. Hali ya wanawake kuleta maombi ya kwanza haraka sana mahusiano yanapoanza inakera sana. Hata hamjawa na wiki toka mmekubaliana kuwa na mahusiano analeta bili za saloon 70,000, hujakaa sawa kodi ya miezi sita 3m, hujajielewa mtoto hajalipiwa ada (wakati baba yake siyo wewe), mara nitumie 50,000 ya vikoba etc.

Na zote hizo tuma na ya kutolea... Afadhali mahusiano yafe tu tumechoka
 
Unawajua wadada unaosema wana kazi?Fanya utafiti kidogo.
utafiti uchwara..

kwa msaada tu achana na wanawake wasiokuwa na kazi… huwawezi

akina miss buza mbona wapo tu, hao ndo size yako, hawana saloon service za gari wala mafuta

wengine achia wenye pesa zao..

mwanaume halii lii hovyo, jikaze
 
Naunga mkono hoja. Hawa wanawake ni ombaomba sana.

Nje ya mada , ndani ya mada kuna shemeji yangu ananiomba sana, mpaka ghetto nimempangia ila nikimwomba mzigo anasema atakuwa ametenda kosa kubwa la kunivunjia heshima mimi na dada yake.

Sasa heshima gani anaitaka huyu huku hata pesa ananiomba kisirisiri?
 
Naunga mkono hoja.
Hawa wanawake ni ombaomba sana.
Nje ya mada , ndani ya mada kuna shemeji yangu ananiomba sana, mpaka ghetto nimempangia ila nikimwomba mzigo anasema atakuwa ametenda kosa kubwa la kunivunjia heshima mimi na dada yake. Sasa heshima gani anaitaka huyu huku hata pesa ananiomba kisirisiri?
Chakata kimasihara Mkuu
 
Naunga mkono hoja.
Hawa wanawake ni ombaomba sana.
Nje ya mada , ndani ya mada kuna shemeji yangu ananiomba sana, mpaka ghetto nimempangia ila nikimwomba mzigo anasema atakuwa ametenda kosa kubwa la kunivunjia heshima mimi na dada yake. Sasa heshima gani anaitaka huyu huku hata pesa ananiomba kisirisiri?
Ilibidi umle kisirisiri pia
 
Back
Top Bottom