Katika Jamii ys Wahindi Muoaji na Mtoa mahari na Mwanamke...Katika jamii ya Waarabu mwanamke kazi yake ni kumpa furaha mune wake. Kama mume ana uwezo anaweka vijakazi na mke anatakiwa kuwa msafi na tayari kwa mume wake muda wote.
Yani kama nature ya mwanamke nlie naeHii nchi inashida nyingi sana vichwani mwa watu. Mwanamke unamwambia kwanini usianze biashara yako? Anasema biashara mambo ya wanaume. Mimi naolewa mwanaume anihudumie. Kazi ya mwanaume ni nini?
DuuuuhhhMpe hela akatembelee wazazit
π π π πumendika muda ambao wamelala! sasa wakiamka mweeeee
Sasa hawa nddio wanajua haswa jukumu la mwanamke hapa dunianiKatika jamii ya Waarabu mwanamke kazi yake ni kumpa furaha mune wake. Kama mume ana uwezo anaweka vijakazi na mke anatakiwa kuwa msafi na tayari kwa mume wake muda wote.
Ni kweli ila.....Kama waombwaji wangeacha kutoa pesa na vitu vingine hii tabia inge kufa.
Lakini sii mbususu anakupa bila mihangaiko au nayo anaibania?Yani kama nature ya mwanamke nlie nae
Duh[emoji848]Holland wafungwa wanapelekewa wanawake jela na wanawake hawa wanalipwa na wanalipa tax.
Labda wadangaji wakianza kulipa kodi na kutambulika rasmi wanaume hamtaombwa ombwa pesa bali mtalipia huduma.
Mmh,aisee[emoji848]Yeah,utakuta mdada ana kazi nzuri,mshahara mnono na marupurupu kuzidi wewe mwanaume,unajisemea labda huyu nikimpata hatonisumbua kabisa katka masuala ya kipesa ili hichi kidogo nilichonacho km ndo nimeanza kibanda nipambane mwenyewe bila bughudha,ololiloololo yaani hawa ndo waste kabisa hovyo zaidi ya hovyo,utapigwa vizinga vya kimataifa mpk ukimbie.
Nowdays ndo maana wanaume wanaamua kuoa wadada ambao ni level ya chini kabisa na wasio na kazi ili angalau uwe na mtu unayemhudumia kila kitu kwa kujua kweli hana na mtaishi maisha peacefully bila taabu but kuoa mwanamke mwenye uwezo kipesa na hawa waajiriwa ndo hovyo kabisa!Yaani hata kitunguu atakuomba pesa.
Zamani nilijua hawa makahaba ni wale ambao maisha imekuwa ngumu kwao but kumbe makahaba wasomi na waajiriwa,wake za watu ndo wengi sana kuliko hawa madada poa
ππππMkuu Wanawake Ni Jeshi Kubwa Sasa Umewa-attack Hakika Damu Inaenda Kumwagika Humu Pakikucha.
Sure!Udangaji by itself haukubaliki na siyo maadili mema, uzaifu wa wanaume siyo justification ya kuwepo udangaji. Ni mind set iliyojengwa na mfumo wa maisha unaopendwa na wanawake wavivu na wasio jitambua
When we announce to them that youβre the father of my child what we really want is post code address of that child. Mwanaume anajisifu anahudumia kumbe anaacha 10,000 wakati kilo ya nyama ni hiyo 10,000.It doesnt make sense at all. Nimejikuta nawaza katika hiyo propaganda ya 'mabepari' at what point does the man decide he is now obligated to take care of his family?
Je, Mke akipata uja uzito anaendelea kujihudumia au what really goes on, mimi sijaelewa hapo.
Sky Eclat njoo Dada kwangu mie mambo yame escalate so fast nimepoteza dot zaidi ya moja mahali.
Narudia tena "SISI MABEPARI HATUTAKIIII" πππππUkifuatilia kwa makini dini ndiyo chanzo cha kuwafanya wanawake kuwa ni kiumbe dhaifu, omba omba na tegemezi. Kuanzia hadithi ya adamu na hawa na maandiko mengine. Wanawake hawataki ku-explore their potentials na kufanya meaningful contribution kwenye familia na maisha ya hapa duniani. Wanabaki kuwa kupe, sisi mabepari hatutaki.
Kwani wewe siyo pisi kaliMnafata pisi kali ambazo ni jobless na wadangaji halafu mnakuja kulalamika as if wanaombaga figo
Good!Kwa namna fulani nyinyi pia huwa mnachingia wao kua hivyo kwa sababu mmewajengea dhana ya kwamba pesa ina nguvu ili kuwapata lazima muwaonge, ili kuwa furahisha lazima muwape pesa kitu ambacho kwao kime kuwa cha mazoea na wanakiendeleza
Na ukiona mtu ana kuomba omba hela mara kwa mara ujue ana kukomoa hakuna upendo hapo labda awe mkeo utasema anataka pesa kwasababu ya kutunza familia na pia hili litakua jukumu lako kama mume.
Nashukuru kwenye hizo Asilimia sipo.
Kwahiyo wanaume wa Tz mnataka kuolewa?π€Sasa hawa nddio wanajua haswa jukumu la mwanamke hapa duniani