BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
Katika Jamii ys Wahindi Muoaji na Mtoa mahari na Mwanamke...Katika jamii ya Waarabu mwanamke kazi yake ni kumpa furaha mune wake. Kama mume ana uwezo anaweka vijakazi na mke anatakiwa kuwa msafi na tayari kwa mume wake muda wote.