80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Yeah,utakuta mdada ana kazi nzuri,mshahara mnono na marupurupu kuzidi wewe mwanaume,unajisemea labda huyu nikimpata hatonisumbua kabisa katka masuala ya kipesa ili hichi kidogo nilichonacho km ndo nimeanza kibanda nipambane mwenyewe bila bughudha,ololiloololo yaani hawa ndo waste kabisa hovyo zaidi ya hovyo,utapigwa vizinga vya kimataifa mpk ukimbie.
Nowdays ndo maana wanaume wanaamua kuoa wadada ambao ni level ya chini kabisa na wasio na kazi ili angalau uwe na mtu unayemhudumia kila kitu kwa kujua kweli hana na mtaishi maisha peacefully bila taabu but kuoa mwanamke mwenye uwezo kipesa na hawa waajiriwa ndo hovyo kabisa!Yaani hata kitunguu atakuomba pesa.
Zamani nilijua hawa makahaba ni wale ambao maisha imekuwa ngumu kwao but kumbe makahaba wasomi na waajiriwa,wake za watu ndo wengi sana kuliko hawa madada poa
Mmh,aisee[emoji848]
 
It doesnt make sense at all. Nimejikuta nawaza katika hiyo propaganda ya 'mabepari' at what point does the man decide he is now obligated to take care of his family?

Je, Mke akipata uja uzito anaendelea kujihudumia au what really goes on, mimi sijaelewa hapo.

Sky Eclat njoo Dada kwangu mie mambo yame escalate so fast nimepoteza dot zaidi ya moja mahali.
When we announce to them that you’re the father of my child what we really want is post code address of that child. Mwanaume anajisifu anahudumia kumbe anaacha 10,000 wakati kilo ya nyama ni hiyo 10,000.
 
Ukifuatilia kwa makini dini ndiyo chanzo cha kuwafanya wanawake kuwa ni kiumbe dhaifu, omba omba na tegemezi. Kuanzia hadithi ya adamu na hawa na maandiko mengine. Wanawake hawataki ku-explore their potentials na kufanya meaningful contribution kwenye familia na maisha ya hapa duniani. Wanabaki kuwa kupe, sisi mabepari hatutaki.
Narudia tena "SISI MABEPARI HATUTAKIIII" 😂😂😂😂😂
 
Kwa namna fulani nyinyi pia huwa mnachingia wao kua hivyo kwa sababu mmewajengea dhana ya kwamba pesa ina nguvu ili kuwapata lazima muwaonge, ili kuwa furahisha lazima muwape pesa kitu ambacho kwao kime kuwa cha mazoea na wanakiendeleza

Na ukiona mtu ana kuomba omba hela mara kwa mara ujue ana kukomoa hakuna upendo hapo labda awe mkeo utasema anataka pesa kwasababu ya kutunza familia na pia hili litakua jukumu lako kama mume.

Nashukuru kwenye hizo Asilimia sipo.
Good!
 
Back
Top Bottom