80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Tanzania watu wote 95% ni omba omba, wasioomba ni5% tu.

Hata lugha yetu umejijenga kwenye uomba uomba, kila "naomba, naomba". Kuanzia chini mpaka juu, wote ni omba omba. Cheyo (Bwana mapesa) aliwahi kusema Tanzania ni taifa omba omba.
 
Kuolewa siyo chanzo cha mapato au relif of your financial responsibilities au kupata jackpot bingo. Pambana mama, mabepari hatutaki kupe
Nimejibu kutokana na comment yake kufurahia wahindi mwanaume kutolewa mahari. Napambana kwaajili yangu binafsi na anayenila atagharamia vile vile ipo hivyo na itaendelea kuwa hivyo, asiyetaka kuhudumia aende kwa hao wasiopenda kuhudumiwa...maisha ni kuchagua.
 
Wapo watu wa kila aina utapata hitaji la moyo wako
 
Sasa hapa unaingilia faragha za watu, unaweza kunipeleka mahakani kwakua mimi ni mdangaji?
Tusingoje kila kitu kifanywe na serikali. Mzee Abdul Ghafur wa Madrassatu Abraar ana mpango mzuri sana ameuanzisha huko Misugusugu, Kibaha, unaohusu kuwa empower kina mama wajane, single mothers na wengine wote wenye mahitaji maalum, mwenyewe anawaita "wenye haki zao". Habagui, dini wala umri, vijana kwa wazee wanafaidika na mipango yake.

Niliimuliza kwa kina na nimefurahishwa sana mipango yake na nampa support 100%. Kina mama, kina dada, mtafuteni huyu mzee, ana nyuzi zake humu JF na ameweka wazi mawasiliano yake, mtafuteni au muulizeni whatsaap yake ni +255625249605.

Nawashangaa sana waandishi wa habari wa Tanzania, hata hawa waandishi uchwa na njaa kama pascal Mayala mambo mema kama ya huyo mzee wanayafumbia macho. Huyo unabidi hata wabunge na wawaziri wakaige mfano wake na wampe support kubwa, ni mtu genuine, hana longolongo na amenyooka kama laser beam.

Mwenyeezi Mungu amjaalie kila la heri mipango yake iwe endelevu daima.
 
Hilo ni jambo jema sana,serikali iimpe support huyo mzee aendelee kuwasitiri akina mama wenye mahitaji maalum
 
When we announce to them that you’re the father of my child what we really want is post code address of that child. Mwanaume anajisifu anahudumia kumbe anaacha 10,000 wakati kilo ya nyama ni hiyo 10,000.
Shangaa na wewe.

I thought he had a point until it came to the issue of wives taking care of themselves.

Shitty ideology.
 
Hapo sawa![emoji106][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…