80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Wasalaam wana JF

Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli.

Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi, yaani wanawake na akina dada.

Wana njaa kali na wanajitoa muhanga kwenye front zote. Wako wanaofanya ukahaba wa wazi mabarabarani, maofisini, na mitandaoni. Na wapo wengine wanafanya hivyo indirect kwenye mahusiano na mpaka kwenye ndoa zao pia. Yaani, exchange ya viungo vya uzazi na pesa. Na sehemu kubwa ni wale wanaopenda slope, yaani kimjini kitonga au udangaji.

Kimsingi, siyo rahisi kuwa na meaningful relationship hapa Tanzania. Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.

Wanawake wengi wanachukulia mahusiano kama chanzo cha mapato au relief from their financial responsibilities na mbaya zaidi kama wameshnda bingo (bahati nasibu)

Pengine, sisi kwa sisi, kibongo bongo tunaweza kuhimiliana, je wenzentu wa maitaifa mengine wataweza? Sasa bssi, ni aibu gani hawa dada zetu wanalipa hili taifa kwa wageni kutoka nje ya nchi? watawachukulia kama Gold digqģers.

Tunaomba serikali iwe na mkakati wa makusudi, pengine kuanzia shule za msingi kuwapa ujasiri wanawake. Ujasiri wa kujitegemea, kuwafundisha kuona aibu kuomba na kuwa wategemezi. Kuwa mwanamke siyo kuwa handicapped na siyo justification au leseni ya kuwa omba omba. Tusiruhusu kuwa na taifa lililojaa wanawake wadangaji na omba omba.

katika muktadha huu, kama nchi za wenzetu wameweza sisi kwanini tushindwe? Nchi za wenzetu katika mabara ya ulaya na america wanawake omba omba wapo kwa idadi ndogo sana.

Ikumbukwe, hakuna omba omba anaye heshimika, hizo ndizo harsh realitiies of capitalism.

Mwenye akili na aelewe.
Tanzania watu wote 95% ni omba omba, wasioomba ni5% tu.

Hata lugha yetu umejijenga kwenye uomba uomba, kila "naomba, naomba". Kuanzia chini mpaka juu, wote ni omba omba. Cheyo (Bwana mapesa) aliwahi kusema Tanzania ni taifa omba omba.
 
Kuolewa siyo chanzo cha mapato au relif of your financial responsibilities au kupata jackpot bingo. Pambana mama, mabepari hatutaki kupe
Nimejibu kutokana na comment yake kufurahia wahindi mwanaume kutolewa mahari. Napambana kwaajili yangu binafsi na anayenila atagharamia vile vile ipo hivyo na itaendelea kuwa hivyo, asiyetaka kuhudumia aende kwa hao wasiopenda kuhudumiwa...maisha ni kuchagua.
 
Wapo watu wa kila aina utapata hitaji la moyo wako
 
Sasa hapa unaingilia faragha za watu, unaweza kunipeleka mahakani kwakua mimi ni mdangaji?
Wasalaam wana JF

Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli.

Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi, yaani wanawake na akina dada.

Wana njaa kali na wanajitoa muhanga kwenye front zote. Wako wanaofanya ukahaba wa wazi mabarabarani, maofisini, na mitandaoni. Na wapo wengine wanafanya hivyo indirect kwenye mahusiano na mpaka kwenye ndoa zao pia. Yaani, exchange ya viungo vya uzazi na pesa. Na sehemu kubwa ni wale wanaopenda slope, yaani kimjini kitonga au udangaji.

Kimsingi, siyo rahisi kuwa na meaningful relationship hapa Tanzania. Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.

Wanawake wengi wanachukulia mahusiano kama chanzo cha mapato au relief from their financial responsibilities na mbaya zaidi kama wameshnda bingo (bahati nasibu)

Pengine, sisi kwa sisi, kibongo bongo tunaweza kuhimiliana, je wenzentu wa maitaifa mengine wataweza? Sasa bssi, ni aibu gani hawa dada zetu wanalipa hili taifa kwa wageni kutoka nje ya nchi? watawachukulia kama Gold digqģers.

Tunaomba serikali iwe na mkakati wa makusudi, pengine kuanzia shule za msingi kuwapa ujasiri wanawake. Ujasiri wa kujitegemea, kuwafundisha kuona aibu kuomba na kuwa wategemezi. Kuwa mwanamke siyo kuwa handicapped na siyo justification au leseni ya kuwa omba omba. Tusiruhusu kuwa na taifa lililojaa wanawake wadangaji na omba omba.

katika muktadha huu, kama nchi za wenzetu wameweza sisi kwanini tushindwe? Nchi za wenzetu katika mabara ya ulaya na america wanawake omba omba wapo kwa idadi ndogo sana.

Ikumbukwe, hakuna omba omba anaye heshimika, hizo ndizo harsh realitiies of capitalism.

Mwenye akili na aelewe.
Tusingoje kila kitu kifanywe na serikali. Mzee Abdul Ghafur wa Madrassatu Abraar ana mpango mzuri sana ameuanzisha huko Misugusugu, Kibaha, unaohusu kuwa empower kina mama wajane, single mothers na wengine wote wenye mahitaji maalum, mwenyewe anawaita "wenye haki zao". Habagui, dini wala umri, vijana kwa wazee wanafaidika na mipango yake.

Niliimuliza kwa kina na nimefurahishwa sana mipango yake na nampa support 100%. Kina mama, kina dada, mtafuteni huyu mzee, ana nyuzi zake humu JF na ameweka wazi mawasiliano yake, mtafuteni au muulizeni whatsaap yake ni +255625249605.

Nawashangaa sana waandishi wa habari wa Tanzania, hata hawa waandishi uchwa na njaa kama pascal Mayala mambo mema kama ya huyo mzee wanayafumbia macho. Huyo unabidi hata wabunge na wawaziri wakaige mfano wake na wampe support kubwa, ni mtu genuine, hana longolongo na amenyooka kama laser beam.

Mwenyeezi Mungu amjaalie kila la heri mipango yake iwe endelevu daima.
 
Tusingoje kila kitu kifanywe na serikali. Mzee Abdul Ghafur wa Madrassatu Abraar ana mpango mzuri sana ameuanzisha huko Misugusugu, Kibaha, unaohusu kuwa empower kina mama wajane, single mothers na wengine wote wenye mahitaji maalum, mwenyewe anawaita "wenye haki zao". Habagui, dini wala umri, vija kwa wazee wanafaidika na mipango yake.

Niliimuliza kwa kina na nimefurahishwa sana mipango yake na nampa support 10%. Kina mama, kina dada, mtafuteni huyu mzee, ana nyuzi zake humu JF na ameweka wazi mawasiliano yake, mtafuteni au muulizeni whatsaap yake ni +255625249605.

Nawashangaa sana waandishi wa habari wa Tanzania, hata hawa waandishi uchwa na njaa kama pascal Mayala mambo mema kama ya huyo mzee wanayafumbia macho. Huyo unabidi hata wabunge na wawaziri wakaige mfano wake na wampe support kubwa, ni mtu genuine, hana longolongo na amenyooka kama laser beam.

Mwenyeezi Mungu amjaalie kila la heri mipango yake iwe endelevu daima.
Hilo ni jambo jema sana,serikali iimpe support huyo mzee aendelee kuwasitiri akina mama wenye mahitaji maalum
 
When we announce to them that you’re the father of my child what we really want is post code address of that child. Mwanaume anajisifu anahudumia kumbe anaacha 10,000 wakati kilo ya nyama ni hiyo 10,000.
Shangaa na wewe.

I thought he had a point until it came to the issue of wives taking care of themselves.

Shitty ideology.
 
Me mke Wangu Nina mpango nimfungulie genge la kidizaini hivi auze uji vitafunwa na matunda fruit mixer.. nadhani hapo nitamuweza off course wanawake NI wazuri kwenye kutunza hela kuliko sisi...mtaji Kama laki mbili hivi utamtosha halafu namsikilizia nione anaendeleaje je bado ananiomba pesa Huku vyakula na bills nyingine naendelea kulipa Mimi..
Sky Eclat
Hapo sawa![emoji106][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom