80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Mkuu soma uzi vizuri kwanza. Huku mjini wala hauitaji kutongoza, wanajitongozesha alafu wanakuletea invoice.

Huko kwenu Mpitimbi mna bahati haya mambo bado hayajaanza.
 
Mimi ni jukumu langu kumpa hela Mwanamke .... hapa kwenyewe nataka kumrushia Mwanamke 100k ila Tigopesa inazingua!
Mko wachache sana wanaume mnaojua majukumu yenu. Niliongea na swahiba yangu kuhusu hili, aliniambia mwanaume akimpata mwanamke ambae roho yake imeridhia anaweza kufanya lolote kuhakikisha mwanamke yule hana shida.
 
Ela inatoka vizuri tu, ila inataka mifumo fulani hivi, siyo yakutengenezwa. Mimi nazungusha mpaka round ya gari achilia mbali pombe. Ila wanawake lazima wajue wajibu wao, wapambane wasiwe makupe.
 
Niwatetee tena akina mama ...kwa kuzunguka kwangu nchi tofauti za wenzetu walioendelea na wale wa kati madanga yapo tu kote..
Na hapa shida ni hali yenu ya uchumi iko vipi.so sio kosa lao...umasikini mbaya ndugu.

Mbona mama zetu hawakuwa hivyo?

Je uchumi wa zamani na sasa upi una afadhali?
 
Wewe utaweza kutulia tuli wakati anarudi muda anaotaka au siku anayopenda Ili asikusumbue umuhudumie?
Ni mwanaume mpumbavu tu ndiye atakayekataa mwanamke asi- fanikiwe katika endeavors zake. Ukishalijua hilo, manake huwezi kumpangia muda wa kurudi ikiwa yuko kwenye majukumu.

Wanawake siyo vyombo vya starehe, ni watu ambao wanapaswa wa explore potentials zao, wafanikiwe waweze kujivunia matunda ya jasho lao. Hali kadhalika hawapaswi kuwa makupe.
 
Isaya 4:1

Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanaume mmoja na kumuambia,chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu,uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
Watawavamia wanaopenda kulelewa Sasa mpaka maandiko yapo bado mtu usijiandae kuwa mtawala wa himaya yako bado usubiri kuja kutawaliwa na wanawake Saba? Aaah!
 
Mko wachache sana wanaume mnaojua majukumu yenu. Niliongea na swahiba yangu kuhusu hili, aliniambia mwanaume akimpata mwanamke ambae roho yake imeridhia anaweza kufanya lolote kuhakikisha mwanamke yule hana shida.
Na huo ndio ukweli.... huwa nafarijika nikiona Mwanamke anaridhika na vile ninamjali.... Mwanamke ameumbwa anahitaji SECURITY ikiwemo security ya uhakika wa mahitaji yake.... huwa naamini nikimtizimia na akiwa na amani... ht mm nakuwa na AMANI
 
Watawavamia wanaopenda kulelewa Sasa mpaka maandiko yapo bado mtu usijiandae kuwa mtawala wa himaya yako bado usubiri kuja kutawaliwa na wanawake Saba? Aaah!
Soma vizuri uzi.

Usihamishe goli.

Hoja ni wanawake ni omba omba.

Wanafanya mahusiano kama ni chanzo cha mapato, au kama relif ya financial responsibilities zao au jackpot bingo

Hivyo basi, sisi mabepari hatukubali
 
Na huo ndio ukweli.... huwa nafarijika nikiona Mwanamke anaridhika na vile ninamjali.... Mwanamke ameumbwa anahitaji SECURITY ikiwemo security ya uhakika wa mahitaji yake.... huwa naamini nikimtizimia na akiwa na amani... ht mm nakuwa na AMANI
Mkuu, ukiwaa na mentality hiyo utapigiwa sana wanawake wako.
 
Wanawake wengi wanachukulia mahusiano kama chanzo cha mapato au relief from their financial responsibilities na mbaya zaidi kama wameshnda bingo (bahati nasibu).MBONA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ANAJIPAMBANIA NA SASA NI RAISI NA TUNAMUHESHIMU
Wewe unambiti ki hoe mama!! Hujui alienda kuomba ili tupone!? Kwaufupi wanaomba ili familia ipate mlo siyo sisi tunaomba ili tukatumbue bar
 
Na huo ndio ukweli.... huwa nafarijika nikiona Mwanamke anaridhika na vile ninamjali.... Mwanamke ameumbwa anahitaji SECURITY ikiwemo security ya uhakika wa mahitaji yake.... huwa naamini nikimtizimia na akiwa na amani... ht mm nakuwa na AMANI
Kuna wanawake warembo na ukirudi nyumbani ukimuona tu roho yako burdani. Sasa umkute na yeye amefundwa jinsi ya kumhudumia mume, waja watasema amekuwekea limbwata kumbe ni roho yako tu.
 
Alafu wanakuja kujumlisha wake zao wa ndoa na hao waombaji wao, mume kama mume anawajibu wa kuhudumia familia yake na ndo kitu kinampa ukuu wa kutawala imagine unabeba jukumu la kuongoza ratiba ya mke wako unamwamusha mtu usiku akuhudumie huduma ya Upendo na kwa Upendo Sasa usipokuwa na majuku juu yake utaweza kuvuruga ratiba zake?

Na watoto hivyo hivyo unawaongoza wewe Sasa utaongoza kwa maneno bila vitendo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…