80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Hapo ndo mzizi wa hilo tatizo ulipo, unaobwa pesa na mwanamke baada ya wewe kumtongoza alafu unalalamika? Mwanaume ni mtawala hivyo ukitaka kutawala vizuri uwe na uchumi mzuri yaani jasho lako liwe kubwa alafu tafuta mwanamke wa sifa zako unazopenda muhudumie kwa ufahari kabisa na tabia utakuwa huru kumuonya tabia mbaya usizopenda na hapo atakuwa ni mkeo Sasa mwaume analalamika kuobwaobwa pesa na wanawake anaowatongoza kwani nani amekwambia utongoze hovyo hovyo? Wakati uliambiwa utafute wa kufanana na wewe na ukimpata utajisikia fahari kumuhudumia.
Mkuu soma uzi vizuri kwanza. Huku mjini wala hauitaji kutongoza, wanajitongozesha alafu wanakuletea invoice.

Huko kwenu Mpitimbi mna bahati haya mambo bado hayajaanza.
 
Mimi ni jukumu langu kumpa hela Mwanamke .... hapa kwenyewe nataka kumrushia Mwanamke 100k ila Tigopesa inazingua!
Mko wachache sana wanaume mnaojua majukumu yenu. Niliongea na swahiba yangu kuhusu hili, aliniambia mwanaume akimpata mwanamke ambae roho yake imeridhia anaweza kufanya lolote kuhakikisha mwanamke yule hana shida.
 
Ela inatoka vizuri tu, ila inataka mifumo fulani hivi, siyo yakutengenezwa. Mimi nazungusha mpaka round ya gari achilia mbali pombe. Ila wanawake lazima wajue wajibu wao, wapambane wasiwe makupe.
 
Wewe utaweza kutulia tuli wakati anarudi muda anaotaka au siku anayopenda Ili asikusumbue umuhudumie?
Ni mwanaume mpumbavu tu ndiye atakayekataa mwanamke asi- fanikiwe katika endeavors zake. Ukishalijua hilo, manake huwezi kumpangia muda wa kurudi ikiwa yuko kwenye majukumu.

Wanawake siyo vyombo vya starehe, ni watu ambao wanapaswa wa explore potentials zao, wafanikiwe waweze kujivunia matunda ya jasho lao. Hali kadhalika hawapaswi kuwa makupe.
 
Isaya 4:1

Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanaume mmoja na kumuambia,chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu,uturuhusu tuitwe kwa jina lako.
Watawavamia wanaopenda kulelewa Sasa mpaka maandiko yapo bado mtu usijiandae kuwa mtawala wa himaya yako bado usubiri kuja kutawaliwa na wanawake Saba? Aaah!
 
Mko wachache sana wanaume mnaojua majukumu yenu. Niliongea na swahiba yangu kuhusu hili, aliniambia mwanaume akimpata mwanamke ambae roho yake imeridhia anaweza kufanya lolote kuhakikisha mwanamke yule hana shida.
Na huo ndio ukweli.... huwa nafarijika nikiona Mwanamke anaridhika na vile ninamjali.... Mwanamke ameumbwa anahitaji SECURITY ikiwemo security ya uhakika wa mahitaji yake.... huwa naamini nikimtizimia na akiwa na amani... ht mm nakuwa na AMANI
 
Watawavamia wanaopenda kulelewa Sasa mpaka maandiko yapo bado mtu usijiandae kuwa mtawala wa himaya yako bado usubiri kuja kutawaliwa na wanawake Saba? Aaah!
Soma vizuri uzi.

Usihamishe goli.

Hoja ni wanawake ni omba omba.

Wanafanya mahusiano kama ni chanzo cha mapato, au kama relif ya financial responsibilities zao au jackpot bingo

Hivyo basi, sisi mabepari hatukubali
 
Na huo ndio ukweli.... huwa nafarijika nikiona Mwanamke anaridhika na vile ninamjali.... Mwanamke ameumbwa anahitaji SECURITY ikiwemo security ya uhakika wa mahitaji yake.... huwa naamini nikimtizimia na akiwa na amani... ht mm nakuwa na AMANI
Mkuu, ukiwaa na mentality hiyo utapigiwa sana wanawake wako.
 
Wanawake wengi wanachukulia mahusiano kama chanzo cha mapato au relief from their financial responsibilities na mbaya zaidi kama wameshnda bingo (bahati nasibu).MBONA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ANAJIPAMBANIA NA SASA NI RAISI NA TUNAMUHESHIMU
Wewe unambiti ki hoe mama!! Hujui alienda kuomba ili tupone!? Kwaufupi wanaomba ili familia ipate mlo siyo sisi tunaomba ili tukatumbue bar
 
Na huo ndio ukweli.... huwa nafarijika nikiona Mwanamke anaridhika na vile ninamjali.... Mwanamke ameumbwa anahitaji SECURITY ikiwemo security ya uhakika wa mahitaji yake.... huwa naamini nikimtizimia na akiwa na amani... ht mm nakuwa na AMANI
Kuna wanawake warembo na ukirudi nyumbani ukimuona tu roho yako burdani. Sasa umkute na yeye amefundwa jinsi ya kumhudumia mume, waja watasema amekuwekea limbwata kumbe ni roho yako tu.
 
Kuhudumia mke na familia ni jukumu la mume, there's no running away from that. Ukiona mtu analalamika kutoa huduma kwa mke ujuwe uchumi wake bado sio mzuri na inabidi mke nae atoke atafute ili mambo yaende..na hapa tupo wanaume wengi tu, 80% tunataka wake zetu watoke kutafuta ili mambo yaende.

Kuhudumia mchumba, girlfriend ni maamuzi ya mtu, usilalamike kama uliamua mwenyewe kuhudumia girlfriend wako.

Tatizo kweli kuna wadada wanaomba...yaani kweli sio sawa, umemfaham leo, kesho sim imepasuka kioo.

Alafu wanakuja kujumlisha wake zao wa ndoa na hao waombaji wao, mume kama mume anawajibu wa kuhudumia familia yake na ndo kitu kinampa ukuu wa kutawala imagine unabeba jukumu la kuongoza ratiba ya mke wako unamwamusha mtu usiku akuhudumie huduma ya Upendo na kwa Upendo Sasa usipokuwa na majuku juu yake utaweza kuvuruga ratiba zake?

Na watoto hivyo hivyo unawaongoza wewe Sasa utaongoza kwa maneno bila vitendo?
 
Back
Top Bottom