MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
- #321
Mkuu soma uzi vizuri kwanza. Huku mjini wala hauitaji kutongoza, wanajitongozesha alafu wanakuletea invoice.Hapo ndo mzizi wa hilo tatizo ulipo, unaobwa pesa na mwanamke baada ya wewe kumtongoza alafu unalalamika? Mwanaume ni mtawala hivyo ukitaka kutawala vizuri uwe na uchumi mzuri yaani jasho lako liwe kubwa alafu tafuta mwanamke wa sifa zako unazopenda muhudumie kwa ufahari kabisa na tabia utakuwa huru kumuonya tabia mbaya usizopenda na hapo atakuwa ni mkeo Sasa mwaume analalamika kuobwaobwa pesa na wanawake anaowatongoza kwani nani amekwambia utongoze hovyo hovyo? Wakati uliambiwa utafute wa kufanana na wewe na ukimpata utajisikia fahari kumuhudumia.
Huko kwenu Mpitimbi mna bahati haya mambo bado hayajaanza.