80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Kama waombwaji wangeacha kutoa pesa na vitu vingine hii tabia inge kufa.
To eliminate/stop problem always we need to find point source.

Kwa Maneno Mafupi Point Source Ni Mtoaji / Muombaji?

Sawa Na Kusema Tatizo La Moto Ni Vitu Vinavyoungua(Mtoaji) Na Si Kianzilishi Cha Moto (Muombaji/Beggars).

Uwezi Kutatua Tatizo Kwa Kuanzia Sehemu Ya Pili Ya Chain. Nashangaa Sana Wanaharakati Wa Kupambana Na Biashara Ya Ngono Wanavyotoa Mtazamo Wa Kusema Biashara Ya Ngono Itakoma Kama Kukiwa Hakuna Wanunuzi. Wtf Madam!

Njoo Kwenye Madawa Ya Kulevya Namna Serikali Zinavyopambana Inaanza Kwa Kuzuia Source (Upatikanaji Wake Unakuwa Mgumu No Matter Inaongeza Dhamani Kwa Wasambazaji) Na Ikitoka Hapo Sheria Ni Kali Kwa Wasambazaji Maana Yake Wanapambana Na Point Source.

Then Wanafata Watumiaji Ambao Tunawaona Kama Ni Victims Kusaidiwa Kuacha Kutumia Na Sober House Zinahusika.

Hiyo Kwa Mtazamo Wangu Nilitamani Itumike Hata Kwa Mambo Mengine Tuanze Na Point Source Then Loop Ifate Kwa Wengine.

Ila Hiyo Nadharia Ya Secondary Source Ndio Tukomeshe Na Kusahau Primary Source Hakuna Kitakachobadilika.

All In All
: Waombaji Including Wauza Miili Ni Primary Source
: Watoaji Including Wanunua Dadapoa Ni Victims/Secondary Source
 
Mkuu, ukweli lazima usemwe kwa gharama yoyote.
Yeah,utakuta mdada ana kazi nzuri, mshahara mnono na marupurupu kuzidi wewe mwanaume, unajisemea labda huyu nikimpata hatonisumbua kabisa katka masuala ya kipesa ili hichi kidogo nilichonacho km ndo nimeanza kibanda nipambane mwenyewe bila bughudha,ololiloololo yaani hawa ndo waste kabisa hovyo zaidi ya hovyo,utapigwa vizinga vya kimataifa mpk ukimbie.

Nowdays ndo maana wanaume wanaamua kuoa wadada ambao ni level ya chini kabisa na wasio na kazi ili angalau uwe na mtu unayemhudumia kila kitu kwa kujua kweli hana na mtaishi maisha peacefully bila taabu but kuoa mwanamke mwenye uwezo kipesa na hawa waajiriwa ndo hovyo kabisa!Yaani hata kitunguu atakuomba pesa.

Zamani nilijua hawa makahaba ni wale ambao maisha imekuwa ngumu kwao but kumbe makahaba wasomi na waajiriwa, wake za watu ndo wengi sana kuliko hawa madada poa
 
Udangaji by itself haukubaliki na siyo maadili mema, uzaifu wa wanaume siyo justification ya kuwepo udangaji. Ni mind set iliyojengwa na mfumo wa maisha unaopendwa na wanawake wavivu na wasio jitambua
Huu udhaifu wa wanaume unatumiwa na politicians, majasusi, na hata majambazi. Kumbuka kesi ya Clinton na Monica Lewinsky.

Tukubali kuwa kuna mambo binadamu hatuna control nayo, hakuna mjanja na mjinga katika kuomba na kuombwa pesa na malipo ya ngono.
 
To eliminate/stop problem always we need to find point source.

Kwa Maneno Mafundi Point Source Ni Mtoaji / Muombaji?

Sawa Na Kusema Tatizo La Moto Ni Vitu Vinavyoungua(Mtoaji) Na Si Kianzilishi Cha Moto (Muombaji/Beggars).

Uwezi Kutatua Tatizo Kwa Kuanzia Sehemu Ya Pili Ya Chain. Nashangaa Sana Wanaharakati Wa Kupambana Na Biashara Ya Ngono Wanavyotoa Mtazamo Wa Kusema Biashara Ya Ngono Itakoma Kama Kukiwa Hakuna Wanunuzi. Wtf Madam!

Njoo Kwenye Madawa Ya Kulevya Namna Serikali Zinavyopambana Inaanza Kwa Kuzuia Source (Upatikanaji Wake Unakuwa Mgumu No Matter Inaongeza Dhamani Kwa Wasambazaji) Na Ikitoka Hapo Sheria Ni Kali Kwa Wasambazaji Maana Yake Wanapambana Na Point Source.

Then Wanafata Watumiaji Ambao Tunawaona Kama Ni Victims Kusaidiwa Kuacha Kutumia Na Sober House Zinahusika.

Hiyo Kwa Mtazamo Wangu Nilitamani Itumike Hata Kwa Mambo Mengine Tuanze Na Point Source Then Loop Ifate Kwa Wengine.

Ila Hiyo Nadharia Ya Secondary Source Ndio Tukomeshe Na Kusahau Primary Source Hakuna Kitakachobadilika.

All In All
: Waombaji Including Wauza Miili Ni Primary Source
: Watoaji Including Wanunua Dadapoa Ni Victims/Secondary Source
I second
 
Yeah,utakuta mdada ana kazi nzuri,mshahara mnono na marupurupu kuzidi wewe mwanaume,unajisemea labda huyu nikimpata hatonisumbua kabisa katka masuala ya kipesa ili hichi kidogo nilichonacho km ndo nimeanza kibanda nipambane mwenyewe bila bughudha,ololiloololo yaani hawa ndo waste kabisa hovyo zaidi ya hovyo,utapigwa vizinga vya kimataifa mpk ukimbie.
Nowdays ndo maana wanaume wanaamua kuoa wadada ambao ni level ya chini kabisa na wasio na kazi ili angalau uwe na mtu unayemhudumia kila kitu kwa kujua kweli hana na mtaishi maisha peacefully bila taabu but kuoa mwanamke mwenye uwezo kipesa na hawa waajiriwa ndo hovyo kabisa!Yaani hata kitunguu atakuomba pesa.
Zamani nilijua hawa makahaba ni wale ambao maisha imekuwa ngumu kwao but kumbe makahaba wasomi na waajiriwa,wake za watu ndo wengi sana kuliko hawa madada poa
Ni mambo fikirishi, yaani akina mama ni kama wametumwa kutukomoa financially
 
Huu udhaifu wa wanaume unatumiwa na politicians, majasusi, na hata majambazi. Kumbuka kesi ya Clinton na Monica Lewinsky.

Tukubali kuwa kuna mambo binadamu hatuna control nayo, hakuna mjanja na mjinga katika kuomba na kuombwa pesa na malipo ya ngono.
Jambo hili liingie kwenye katiba mpya, anayepaswa kulipwa ni mkunaji au mkunwaji? Issue hapa ipo kwenye uhimilivu wa nyege, pengine akina mama wanao mkubwa na hapo ndipo tunapokua kwenye the weekest side katika negotiations.
 
Back
Top Bottom