80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Jambo hili liingie kwenye katiba mpya, anayepaswa kulipwa ni mkunaji au mkunwaji? Issue hapa ipo kwenye uhimilivu wa nyege, pengine akina mama wanao mkubwa na hapo ndipo tunapokua kwenye the weekest side katika negotiations.
Anaetakiwa kulipa ni muombaji. Unaenda dukani kwasababu unahitaji bidhaa, hutegemei mwenye duka akulipe kwakua ulikwenda dukani.
 
The answer is marriage.

Unless kumhudumia mke wako pia utaona ni shida.
Hii dhana ya kumuhudumia mtu mzima mwenye akili na nguvu zake katika set up yoyote ile, iwe ndoa au mahusiano ndiyo aiingii akilini. Kwanini ahudumiwe, awe mke au mchepuko. Ndiyo mentality ya kuwa omba omba, mtegemezi na kupe. Mabepari hatutaki.
 
Hii dhana ya kumuhudumia mtu mzima mwenye akili na nguvu zake katika set up yoyote, ndoa au mahusiano ndiyo aiingii akilini. Kwanini ahudumiwe, awe mke au mchepuko. Ndiyo mentality ya kuwa omba omba, mtegemezi na kupe. Mabepari hatutaki.
Katika jamii ya Waarabu mwanamke kazi yake ni kumpa furaha mune wake. Kama mume ana uwezo anaweka vijakazi na mke anatakiwa kuwa msafi na tayari kwa mume wake muda wote.
 
Katika jamii ya Waarabu mwanamke kazi yake ni kumpa furaha mune wake. Kama mume ana uwezo anaweka vijakazi na mke anatakiwa kuwa msafi na tayari kwa mume wake muda wote.
Ukifuatilia kwa makini dini ndiyo chanzo cha kuwafanya wanawake kuwa ni kiumbe dhaifu, omba omba na tegemezi. Kuanzia hadithi ya adamu na hawa na maandiko mengine. Wanawake hawataki ku-explore their potentials na kufanya meaningful contribution kwenye familia na maisha ya hapa duniani. Wanabaki kuwa kupe, sisi mabepari hatutaki.
 
Ni mambo fikirishi, yaani akina mama ni kama wametumwa kutukomoa financially
Ila pia hawana tofauti na jamaa zetu wale wafuga booty hawa wanaolalamikiwa kila siku yaani hata km mmepewa milioni pamoja hataki yake iguswe, utasikia poti waniongezee nyingine ya baridi, poti unajua hizi pombe zitatuua hatujala toka asubuhi watuwekee ya mbogamboga au rost kavu, ikija bill anakusogezea, yaani yeye hata mia hajatoa wakati ana milioni mfukoni[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Private parts siyo tradable commodities. Hii inatakiwa iingie kwenye vichwa vya dada zetu wa kitanzania
Unamaana wawe wanatoa bure.
Kama umeomba lazima uonyeshe appreciation ya kutoa nauli, vocha, kinywaji na chakula.
Au mkuu ulitaka wakupigie simu kwa gharama zao, waje ulipo kwa nauli zao, wajinunulie chips, wakupe halafu waage waondoke?
 
Ukifuatilia kwa makini dini ndiyo chanzo cha kuwafanya wanawake kuwa ni kiumbe dhaifu, omba omba na tegemezi. Kuanzia hadithi ya adamu na hawa na maandiko mengine. Wanawake hawataki ku-explore their potentials na kufanya meaningful contribution kwenye familia na maisha ya hapa duniani. Wanabaki kuwa kupe, sisi mabepari hatutaki.
Ni vita ya WWI na WWII ndiyo ilifanya wanawake wa Ulaya kuanza kupata ajira. Hasa maisha kati ya WWI na WWII wanawake walikua ni watunza nyumba na mwanaume ndiye alitoka asubuhi.

Ni wake wa wanaume wanaolipwa kima cha chini ndiyo walitafuta kazi kuusaidia mshahara wa mume wake. Mwanaume akimuacha mke wake afanye kazi ni dalili kuwa mshahara wa mume hautoshi.
 
Fanya tafiti kwenye jamii zetu na utagundua wanawake walikua na mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya familia kabla ya mapokeo ya hizi dini. Jamii kama za wanyakyusa na wachagga wanawake walikikua wanapambana pamoja na wanaume zao kujenga familia. Hawakuwadanga waume zao.
 
Kule Pwani wanawake ndiyo wazalishaji wakubwa. Wanalima mihogo, mpunga na hata mahindi. Wanaume hucheza bao na kunywa kahawa.
 
Hii dhana ya kumuhudumia mtu mzima mwenye akili na nguvu zake katika set up yoyote, ndoa au mahusiano ndiyo aiingii akilini. Kwanini ahudumiwe, awe mke au mchepuko. Ndiyo mentality ya kuwa omba omba, mtegemezi na kupe. Mabepari hatutaki.
Basi Mkuu kuna mahali unajimiksi. Usije waacha watoto wahudumiwe na Mama yao.

Ushauri wangu ni tafuta hela kuna mambo huwezi kupingana nayo.

Tafuta hela mkuu.
 
Back
Top Bottom