MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
- #81
Ziko sokoni sasaNa sijui kwanini wanaume wanazinunua😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziko sokoni sasaNa sijui kwanini wanaume wanazinunua😅😅😅
Sina issue na wafanyabiashara, as earlier said, its up to willing buyer and seller. Naongelea kudangishwa na mizinga, yaani unauziwa indirectly and unwillingly in the name of relationship or lovedhana gani mzee ,au hiyo ya kusema kahaba anakuomba hela wakati ni service exchange ?,unalia kuombwa pesa na golddigger wakati unataka vizuri. dunia nzima ina hao goldediggers aka slays [emoji160] na kuwapata unatakiwa uwe na kibunda [emoji385], Bilsimilah mi mwenyewe nawapenda shekh ni wazuri na wamejazia yale mafurushi tunayopenda and am willing kutoa pesa kuwapata, hawa hawana huruma na hela yako na wewe usiwe na huruma na nyapu yake [emoji3516],ukitaka wa mapenzi ya kweli aka wife material wapo pia na kimsingi hata hawa lazima uhudumie japo wana kahuruma flani tu na hela yako tofauti na slay [emoji16] .ni swala la wewe na kuchagua .tafuta pesa kijana mwenzangu [emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16] Serikali iliangalie hili kwakweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii nayo kali.
Evelyn Salt njoo usikie eti kuna uhaba wa makahaba Tanzania
Ziko sokoni sasa
Ukikua utaonaKwani kila kilicho sokoni hununuliwa!?
Sijawahi ona muumini msabato wa kweli kununua kitimoto ati sababu iko sokoni😅😅
uchaguzi ni wako kama nilivyokwambia. mimi nina shemeji yako haombi hata mia mpaka nijiongeze mwenyewe at the same time nina shemeji yako ambaye ni slay type , natoboka kweli yani na wala siumiii [emoji473] .Sina issue na wafanyabiashara, as earlier said, its up to willing buyer and seller. Naongelea kudangishwa na mizinga, yaani unauziwa indirectly and unwillingly in the name of relationship or love
Lipia tangazouchaguzi ni wako kama nilivyokwambia. mimi nina shemeji yako haombi hata mia mpaka nijiongeze mwenyewe at the same time nina shemeji yako ambaye ni slay type , natoboka kweli yani na wala siumiii [emoji473] .
Me mke Wangu Nina mpango nimfungulie genge la kidizaini hivi auze uji vitafunwa na matunda fruit mixer.. nadhani hapo nitamuweza off course wanawake NI wazuri kwenye kutunza hela kuliko sisi.Hii dhana ya kumuhudumia mtu mzima mwenye akili na nguvu zake katika set up yoyote, ndoa au mahusiano ndiyo aiingii akilini. Kwanini ahudumiwe, awe mke au mchepuko. Ndiyo mentality ya kuwa omba omba, mtegemezi na kupe. Mabepari hatutaki.
Kwa nini unasema 80% ?Wasalaam wana JF
Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli.
Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi, yaani wanawake na akina dada.
Wana njaa kali na wanajitoa muhanga kwenye front zote. Wako wanaofanya ukahaba wa wazi mabarabarani, maofisini, na mitandaoni. Na wapo wengine wanafanya hivyo indirect mpaka kwenye ndoa zao pia. Yaani, exchange ya viungo vya uzazi na pesa. Na sehemu kubwa ni wale wanaopenda slope, yaani kimjini kitonga au udangaji.
Kimsingi, siyo rahisi kuwa na meaningful relationship hapa Tanzania. Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Pengine, sisi kwa sisi, kibongo bongo tunaweza kuhimiliana, je ni aibu gani hawa dada zetu wanalipa hili taifa kwa wageni kutoka nje ya nchi? Gold digqģers.
Tunaomba serikali iwe na mkakati wa makusudi, pengine kuanzia shule za msingi kuwapa ujasiri wanawake. Ujasiri wa kujitegemea, kuwafundisha kuona aibu kuomba na kuwa wategemezi. Kuwa mwanamke siyo kuwa handicapped na siyo justification ya kuwa omba omba. Tusiruhusu kuwa na taifa lililojaa wanawake wadangaji na omba omba.
katika muktadha huu, kama nchi za wenzetu wameweza sisi kwanini tushindwe? Nchi za wenzetu katika mabara ya ulaya na america wanawake omba omba wapo kwa idadi ndogo sana.
Ikumbukwe, hakuna omba omba anaye heshimika, hizo ndizo harsh realitiies of capitalism.
Mwenye akili na aelewe.
wanatunyoosha sana, ila waelewa bado wapo, ndiyo hiyo 20% iliyobakiKwa nini unasema 80% ?
Actually ni 100%
Kina dada wanatia aibu, wao kuomba ni jadi sasa hivi.
Kutoa papuchi kwa ajili ya huduma si tatizo kabisa sasa hivi.
Wanaume mpaka tunaogopa kutania kina dada, ukimkoleza tu unaletewa papuchi unakotaka, kinachofuata ni matatizo lukuki, mara kodi ya nyumba mara chakula mara anauguliwa mara hela ya wine.
Jana tu kabibi kangu ka siku nyingi na tuliachana sababu ya kubomu kwingi, ati kaniambia anani missi na hapo hapo ana shida ya laki 2.
Nikamwambia zikinitembelea nitamjulisha!
hahahaha kmmmkanani missi na hapo hapo ana shida ya laki 2
Mwanamke hata akiwa na hela still bado atapiga mizinga tu, tena hao wenye kazi wanakupa hata mwezi siku akipiga mzinga, anapiga mzinga heavy anapukutisha mifuko yote. Wachache sana ambao hawazidi 5% ambao hawapigi mizinga na wakipiga ujue kweli ni MAHITAJI YAKE YA MSINGI na anaomba kutoka na uwezo wa mwenza wake.Mnafata pisi kali ambazo ni jobless na wadangaji halafu mnakuja kulalamika as if wanaombaga figo
Mkuu kazi sio nywele kwamba kila mtu ana zake....kazi NI ngumu kupata labda nishaur TU wanaume wenzangu tuwafundishe ujasiriamali wanawake zetu tuwape mitaji na kuwasimamia huenda ikapunguzaMnafata pisi kali ambazo ni jobless na wadangaji halafu mnakuja kulalamika as if wanaombaga figo
@Liverpool VPN ana sema ni kuwapelekea moto tu ipasavyo lakini ndoa itakuwa kipengele[emoji2].kwa hiyo