80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

shida hamdangi kwa viwango vya kimataifa, mnadangisha kiboya. Yaani umetongozwa saa 8:54, saa 8:55 invoices zinaanza
Hawawezi kuwa level moja ya kimataifa,ndio maana kuna matajiri na masikini. Dunia haiko na usawa...mbona hili lipo wazi? Wote wakiwa matawi ya juu wale wateja wa hali ya chini watakuwa hawatatendewi haki
 
Hawawezi kuwa level moja ya kimataifa,ndio maana kuna matajiri na masikini. Dunia haiko na usawa...mbona hili lipo wazi?
Wote wakiwa matawi ya juu wale wateja wa hali ya chini watakuwa hawatatendewi haki
issue ni namna ya kudangisha na siyo mapato ya udangishaji
 
Mwanamke hata akiwa na hela still bado atapiga mizinga tu, tena hao wenye kazi wanakupa hata mwezi siku akipiga mzinga, anapiga mzinga heavy anapukutisha mifuko yote. Wachache sana ambao hawazidi 5% ambao hawapigi mizinga na wakipiga ujue kweli ni MAHITAJI YAKE YA MSINGI na anaomba kutoka na uwezo wa mwenza wake.
Mi sioni kama nna cha ku add hapa maana umeona the difference mwenyewe like huombi kila siku na ukiombwa unajua kweli leo mwenzangu kakamatika
 
Back
Top Bottom