Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kuna system yoyote iliwekwa kuelezea namna udanganyi unavyotakiwa kufanywa? Kama ni freestyle why blame them?issue ni namna ya kudangisha na siyo mapato ya udangishaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna system yoyote iliwekwa kuelezea namna udanganyi unavyotakiwa kufanywa? Kama ni freestyle why blame them?issue ni namna ya kudangisha na siyo mapato ya udangishaji
Najua unaelewaMbona wataka kunipa asbh asbh hivi unajua nataka Nika verify huko unachosema kuhusu matackle akati Nina week sijaenda huko uzunguni.au Basi TU MB hazitoshi.
Hili ni la kutia shaka mno.Na siku ukijua kuwa kuna wanaume wengi wanaishi kwa hizo hizo hela za wadangaji ndio utashangaa zaidi
Safi labda wewe umechambua vizuri na umewaeleweshaWasalaam wana JF
Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli.
Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi, yaani wanawake na akina dada.
Wana njaa kali na wanajitoa muhanga kwenye front zote. Wako wanaofanya ukahaba wa wazi mabarabarani, maofisini, na mitandaoni. Na wapo wengine wanafanya hivyo indirect mpaka kwenye ndoa zao pia. Yaani, exchange ya viungo vya uzazi na pesa. Na sehemu kubwa ni wale wanaopenda slope, yaani kimjini kitonga au udangaji.
Kimsingi, siyo rahisi kuwa na meaningful relationship hapa Tanzania. Ukimtongoza binti au mdada leo, kesho yake wewe umekua sponsor, utaambiwa gesi na umeme vimeisha, anataka hela ya saloon, mafuta ya gari na service kama hilo gari analo,na wakati mwingine ata vitu vidogo vidogo kama vouchers, yaani invoices ni nyingi mpaka unashangaa alikua anaishije kabla haujakutana nae.
Pengine, sisi kwa sisi, kibongo bongo tunaweza kuhimiliana, je ni aibu gani hawa dada zetu wanalipa hili taifa kwa wageni kutoka nje ya nchi? Gold digqģers.
Tunaomba serikali iwe na mkakati wa makusudi, pengine kuanzia shule za msingi kuwapa ujasiri wanawake. Ujasiri wa kujitegemea, kuwafundisha kuona aibu kuomba na kuwa wategemezi. Kuwa mwanamke siyo kuwa handicapped na siyo justification au leseni ya kuwa omba omba. Tusiruhusu kuwa na taifa lililojaa wanawake wadangaji na omba omba.
katika muktadha huu, kama nchi za wenzetu wameweza sisi kwanini tushindwe? Nchi za wenzetu katika mabara ya ulaya na america wanawake omba omba wapo kwa idadi ndogo sana.
Ikumbukwe, hakuna omba omba anaye heshimika, hizo ndizo harsh realitiies of capitalism.
Mwenye akili na aelewe.
We kwanini ukaombee bhanaaaU have big brain madam
I salute you
Watu wenye mentality kama yako hawana exposure wako huko vijijini wamekariri maisha na mahitaji yao ni chakula, malazi na mavazi. Hii ni dimension tofauti, tunaangalia familia na wajibu wa wanafamilia katika context kubwa. Siyo ya kuleta vitumbua asubuhi na kuwapikia ubwabwa jioni.Kiasilia mwanaume ni mtoaji na. mwanamke ni mpokeaji
Huku unakokuita onbaomba kunakutengeneza kua baba bora mtu ambae anahudumia familia yake asa kama vitu vidogo ulivovitaja kama hivo je, ukiwa na familia kubwa utaweza???
Binafsi naona wanaotoa mada kama hizi ni hawa “young adults” 21-24 au hawa wa 25 na 27
Huez mkuta mkaka kwa his kate 30 au early 40 anaongelea mada kama hizi na ndo maana waga wanawachukulia mademu zenu kwasababu hamjakua bado kiakili
My take; tafuta hela mwenye hela hapigagi makelele hivi na ukitaka for free umba wako 🥱
Yani unilale weee unichakaze ehee afu usepe hivihivi hapana haingiii akili 😅😅😅😅😅
hahahahahaBoutique nyingi Sinza mitaji yake imetokana na KUDANGA
Hili ni la kutia shaka mno.
Ninaunga mkono hoja.Me mke Wangu Nina mpango nimfungulie genge la kidizaini hivi auze uji vitafunwa na matunda fruit mixer.. nadhani hapo nitamuweza off course wanawake NI wazuri kwenye kutunza hela kuliko sisi...mtaji Kama laki mbili hivi utamtosha halafu namsikilizia nione anaendeleaje je bado ananiomba pesa Huku vyakula na bills nyingine naendelea kulipa Mimi..
Sky Eclat
Nakubaliana na maoni yako ya msingi kabisa, dada zetu wanaongeza income stream kwa kuongeza madangaDating someone or being in a relationship should never ever be a source of income.
Nahisi kuna chuo kinafundisha hii kozi ya kuomba omba au wana vipaji tu vyakuzaliwa?Siamini kama hii Sledi imeanzishwa Leo asubuhi na inakimbia page ya 8
inaonekana mabaharia hili swala limetugusa Sana so sad,pole yetu sote
Imagine umemchangamkia msichana pahari na ukamwoneshea ka tabasamu ka kumtamanipo na ukajiongeza kuchukua mamba ya simu
Halooooo at the Beninging ooooh sorry at the Bi ni ngi ngi aaaaa noo at the Beninging of day yule Binti anapata matatizo mfululizo
1: Simu yake imeharibika anaomba Hela akatengeneze
2:Kodi yake imeisha baba mwenye nyumba anamsumbua hivyo anaomba msaada wa Ela 😁( Hela acording to their mother tongue)
3:Nywele zake zimefumuka anataka Ela akasuke
4:Kuna send off ya dada wa rafiki yake anahitaji Ela ya mchango maana ataumbukaaa
5:Hajala Toka Jana na Hana Ela ya chakula pulizi help to feed hungry stomach
6...................
My friends mabaharia Mimi nikishaona hivyo namwambia dada samahani naomba nikuache maana Nina mkosi kwako Ile kufahamiana na kupeana Namba TU umepata matatizo mfululizo inaonekana Nina nuksi kwako byeeeeeeee!
NB
Wanaume tutafute Ela narudia Ela, Ela, Ela,
(Hela acording to their mother tongue)
😁😁😁😁😁🔥🔥🔥🔥
Lol ur funny my dearWatu wenye mentality kama yako hawana exposure wako huko vijijini wamekariri maisha na mahitaji yao ni chakula, malazi na mavazi. Hii ni dimension tofauti, tunaangalia familia na wajibu wa wanafamilia katika context kubwa. Siyo ya kuleta vitumbua asubuhi na kuwapikia ubwabwa jioni.
Umekamatika ndio upige mzinga heavy?.Nature ya mwanamke ni mbinafsi upande wa hela yake na ndio maana ndani ya nyumba mke akiwa na 1milion, mume akiwa na laki tatu, hiyo nyumba jumla ina laki tatu.Mi sioni kama nna cha ku add hapa maana umeona the difference mwenyewe like huombi kila siku na ukiombwa unajua kweli leo mwenzangu kakamatika