80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

Kama waombwaji wangeacha kutoa pesa na vitu vingine hii tabia inge kufa.
Mkuu unaombwa kwa ajili ya kitu unachokisorolea utashindwaje kutoa kwa mfano?

Haya mambo yanakuwaga ni rushwa, lakini sema tu kwamba tamaduni zetu za kuanzia kutongoza, kutoa mahari, kunawabwetekesha wanawake kwa kujiona wao ni bidhaa muhimu kama maji na umeme inayouzika kwa kupanga na bei.
 
Wanawake wanawaomba wanaume sababu na wanaume wanawaomba wanawake. Ingekua sivyo wanaume wangeacha kutoa wanachoombwa ili kukomesha tabia ya kuomba

Siku hizi wote wanawake na wanaume wanadai haki sawa
Wanaume huwa wanawaomba wanawake nini kinachostahili kulipiwa pesa ambacho wewe umekiweka kundi la haki sawa?

Namaanisha ukiomba penzi ukatoa hela hiyo ni rushwa ya wazi.

Unatakiwa ukiombwa penzi, unatoa penzi, ama ukipewa penzi unalipa penzi na si vinginevyo.
 
Malipo halali ya penzi ni penzi siyo hela
 
Mkuu hilo halitaisha sio leo wala kesho..

UTU umeshuka bei, thamani ya PESA imepanda,,, na hili lipo miongo kadhaa.. sio rahisi kubadilisha..

Kama mwanaume hujui matumizi sahihi ya pesa uliyotafuta kwa jasho,, acha kina dada waje kukuonyesha inatumika vipi..

Swala la kuombwa ni personal Hukuwepo wakati nazisaka so usinipangie ku-spend - Ngwair
 
Huo wimbo wa marehemu ngwair unaitwaje tafadhali
 
Hayo ni mawazo ya mwanamke mvivu na asiyejimbua. Nani amesema mwanamke ataishi kwa kumtegemea mwanaume? Kwa hivyo sisi tunakua wazazi wa pili, baada ya baba na mama yako?
Hujielewi, unaoa mwanamke ili aendelee kula kwa wazazi wake!? tafuta pesa acha kutafuta kulialia kuonewa huruma na wanawake.......vinginevyo jiunge chaputa.
 
Sio kweli, nilishakutana na pisi moja kwenye hotel moja walikuwa wanapiga muziki wa bendi yupo narafiki yake wanapiga kinywaji. Kadri kinywaji kilivyokolea nikawachokoza na tukakaa meza moja. Tulibadilishana namba na bill walilipa wenyewe. Kesho yake nilimtafuta akaniambia nipo kazini njoo, wapi? Bank. Nikaenda kwenye bank anayofanya kazi, nikamsalimia akanibembeleza kufungua acc, nikafungua nikamuomba jioni ukitoka tuonane.

Jioni alikuja tena kwangu, nilimgonga na shida zake akanieleza nikampa hela kidogo kama alivyoeleza shida zake nikamwambia nikipata nyingine takupa. Tena anamchumba wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi. Nikawa najigongea huku nahudumia. Baadhi ya wanawake makazini wanajiuza, ila wao wanajiuza tofauti.
Hapa sio kweli ni nn na mwisho unamalizia anajiuza bro ni mdangaji huyo
 
Hii nchi inashida nyingi sana vichwani mwa watu. Mwanamke unamwambia kwanini usianze biashara yako? Anasema biashara mambo ya wanaume. Mimi naolewa mwanaume anihudumie. Kazi ya mwanaume ni nini?
 
Back
Top Bottom