and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
PointMkuu inaonekana ulistuliwa usingizini na sms ya mzinga. Fasta ukaingia JF kuwapakazia. Mi demu akishaniletea pigo za kuombaomba hela namtema mazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PointMkuu inaonekana ulistuliwa usingizini na sms ya mzinga. Fasta ukaingia JF kuwapakazia. Mi demu akishaniletea pigo za kuombaomba hela namtema mazima.
mizinga si mizuri kwa afyaMkuu inaonekana ulistuliwa usingizini na sms ya mzinga. Fasta ukaingia JF kuwapakazia. Mi demu akishaniletea pigo za kuombaomba hela namtema mazima.
Tatizo wanataka mambo makubwa kupitilizamizinga si mizuri kwa afya
Mkuu unaombwa kwa ajili ya kitu unachokisorolea utashindwaje kutoa kwa mfano?Kama waombwaji wangeacha kutoa pesa na vitu vingine hii tabia inge kufa.
Wanaume huwa wanawaomba wanawake nini kinachostahili kulipiwa pesa ambacho wewe umekiweka kundi la haki sawa?Wanawake wanawaomba wanaume sababu na wanaume wanawaomba wanawake. Ingekua sivyo wanaume wangeacha kutoa wanachoombwa ili kukomesha tabia ya kuomba
Siku hizi wote wanawake na wanaume wanadai haki sawa
Malipo halali ya penzi ni penzi siyo helaWanaume huwa wanawaomba wanawake nini kinachostahili kulipiwa pesa ambacho wewe umekiweka kundi la haki sawa?
Namaanisha ukiomba penzi ukatoa hela hiyo ni rushwa ya wazi.
Unatakiwa ukiombwa penzi, unatoa penzi, ama ukipewa penzi unalipa penzi na si vinginevyo.
Huo wimbo wa marehemu ngwair unaitwaje tafadhaliMkuu hilo halitaisha sio leo wala kesho..
UTU umeshuka bei, thamani ya PESA imepanda,,, na hili lipo miongo kadhaa.. sio rahisi kubadilisha..
Kama mwanaume hujui matumizi sahihi ya pesa uliyotafuta kwa jasho,, acha kina dada waje kukuonyesha inatumika vipi..
Swala la kuombwa ni personal Hukuwepo wakati nazisaka so usinipangie ku-spend - Ngwair
Hujielewi, unaoa mwanamke ili aendelee kula kwa wazazi wake!? tafuta pesa acha kutafuta kulialia kuonewa huruma na wanawake.......vinginevyo jiunge chaputa.Hayo ni mawazo ya mwanamke mvivu na asiyejimbua. Nani amesema mwanamke ataishi kwa kumtegemea mwanaume? Kwa hivyo sisi tunakua wazazi wa pili, baada ya baba na mama yako?
Kwenye hii 50/50 wanataka tugombanie fursa, na hapo hapo wanataka tuwahudumie......huo ni unyonyaji.Walicho kosea ni kutaka 50/50 hicho ndo chanzo.Siyo kwamba wanaume wana shindwa kuwahudumia wanawake wao.
Huo wimbo wa marehemu ngwair unaitwaje tafadhali
Nipe mbinu mkuu.Ilibidi umle kisirisiri pia
Mbinu tafadhali?Chakata kimasihara Mkuu
Hapa sio kweli ni nn na mwisho unamalizia anajiuza bro ni mdangaji huyoSio kweli, nilishakutana na pisi moja kwenye hotel moja walikuwa wanapiga muziki wa bendi yupo narafiki yake wanapiga kinywaji. Kadri kinywaji kilivyokolea nikawachokoza na tukakaa meza moja. Tulibadilishana namba na bill walilipa wenyewe. Kesho yake nilimtafuta akaniambia nipo kazini njoo, wapi? Bank. Nikaenda kwenye bank anayofanya kazi, nikamsalimia akanibembeleza kufungua acc, nikafungua nikamuomba jioni ukitoka tuonane.
Jioni alikuja tena kwangu, nilimgonga na shida zake akanieleza nikampa hela kidogo kama alivyoeleza shida zake nikamwambia nikipata nyingine takupa. Tena anamchumba wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi. Nikawa najigongea huku nahudumia. Baadhi ya wanawake makazini wanajiuza, ila wao wanajiuza tofauti.
Mnafata pisi kali ambazo ni jobless na wadangaji halafu mnakuja kulalamika as if wanaombaga figo
Wewe jamaa aiseeeeMnafata pisi kali ambazo ni jobless na wadangaji halafu mnakuja kulalamika as if wanaombaga figo