85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

Habari boss!

Naweza pata fremu ya chini ambayo gari kama canter inafika? Nahitaji hii fremu kwaajili ya biashara ya mizigo, ila hata ikiwa ndogo ni sawa maana naanza kwa parcels kwanza nikiendelea kujenga jina. Kama inapatikana ni kwa bei gani kwa mwezi na nalipia kwa muda gani? Asante.
 
sehemu kodi ya juu inafikia hadi milioni+ Unataka ukatafute frem ya 85,000? kweli? waambie wadau ukweli hyo frem ya 85 kwenye biashara uta haso sana aidha ni ghorofani juu kabisa ambapo hakuna wateja au ni sehemu isiyo na mzunguko wa watu
 
Fremu ya 85000 itakua kupewa kieneo nje ya duka la mtu uweke kibanda chako cha uwakala ambavyo huwa vinabomolewa na migambo mara kwa mara
 
Title ni frem ndani ni KIGOLI!! Hapo ndio umakini unahitajika.Pia kkoo imejengwa kwa mitaa taja japo mtaa w bei ya 85000 kwa mwezi.plz
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom