85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

Unapata Uncle karibu sana nakupa ya hapa mtaa wa Uhuru barabarani kabisa ukiwa unashuka hii barabara ya kwenda mnazi mmoja ipo ya 300,000 chini pia ipo ya 250,000 juu ghorofani unalipa Kwa mwaka gari inapaki vizuri karibu.
Sawa boss, asante sana. Nitumie namba zako PM tafadhali, notakucheki muda sio mrefu.
 
Safi sana mkuu, mimi nataka kufungua biashara ya underwears. Nataka nipate frem ya barabarani hapo mitaa ya msimbazi na mafia au msimbazi na mkunguni (maeneo jirani na ilipokua sheli ya bigborn).

Bajeti yangu ya kodi ni kati ya 250,000 - 400,000/ kwa mwezi. Zingatia frame iwe inatazamana na barabara ya msimbazi hiyo.

Kwa bajeti hiyo nitapata frame maeneo hayo?
 
Unapata Uncle nakutumia namba tuwasiliane.
 
Bongo nyosso, mtu anaweka uzi, na taarifa zote muhimu mpaka namba, alafu kuna mtu anakuja anasema nitumie namba au njoo pm !
 
Na wakisema kulipia kishungi wanamaanisha nini na inakuwaje?
 
Comments zimejaa woga na kukatishana tamaa wakati kipimo halisi cha kufahamu ukweli ni kumpigia simu mleta mada akuoneshe fremu. Au watu mmezoea maisha magumu tu, yakiwa easy hamfurahii?
 
Comments zimejaa woga na kukatishana tamaa wakati kipimo halisi cha kufahamu ukweli ni kumpigia simu mleta mada akuoneshe fremu. Au watu mmezoea maisha magumu tu, yakiwa easy hamfurahii?
Walio serious wamekuja kariakoo na wameshapata fremu Uncle. Hao wengine naona wengi wamezoea vyakunyonga vya kuchinja hawaamini Yani hawapo serious. mfano pia mtu analazimisha Kwa ku-comment kusema Kuna kilemba wakati Mimi Sina kilemba na sijazungumzia kilemba inamaana hawaamini kwamba unaweza pata fremu bila kilemba JF baadhi ya watu ni Mtihani.
 
Habari wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO.

Kwanza kabisa naomba nianze Kwa taarifa kutoka EACLC UBUNGO. "Uongozi wa kituo Cha biashara Cha kimataifa Ubungo umetangaza Kodi ya duka EACLC UBUNGO inaanzia shilingi milioni moja za Kitanzania(1M Tsh)".

Hivyo Sasa Ndugu zangu naona Kuna Story nyingi Sana za kutishana/kukatishana tamaa kuhusu KARIAKOO story ni nyingi kuliko kawaida sasa ngoja niwape mwanga kidogo, Hapa kariakoo zipo fremu za Bei ya kawaida kabisa ambayo mtu yeyote anaweza kumudu, mfano zipo fremu za 85,000 juu ghorofani unalipia Kwa miezi sita au mwaka zipo za 100,000 zipo za 200,000 zipo za 250,000 zipo za 300,000 zipo za 350,000 zipo za 400,000 zipo za 500,000 zipo za 800,000 mpaka 1,000,000 inategemea na mtaa pia na sehemu yani namaanisha Kama ni underground, juu au chini kawaida.

Hivyo basi msiogope kuja kufanya biashara au kuplan kufanya biashara kariakoo kwani fremu za Bei chee zipo nyingi sana achana na story za kukatishana tamaa wakati unaweza kuingia kariakoo na mtaji wako mdogo kabisa na ukapiga kazi vizuri kama wafanya biashara wengine na ukatengeneza faida kubwa.

Kwa maana hiyo basi wale wote wanao hitaji fremu za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama M-PESA , TIGO PESA, AIRTEL MONEY, HALO PESA, CRDB wakala, NMB wakala, NBC wakala n.k, kuuza simu, kuuza underwear(boxer,chupi,soksi,taiti n.k), kuuza vinywaji kama soda, maji, juisi n.k, kuuza vifaa vya simu, kuuza vyakula, kuuza mifuko kwa jumla, kuuza t shirt, kuuza vifaa vya ujenzi, fremu za pharmacy, stoo za mizigo, kuuza vifaa vya saloon, kuuza nguo za michezo, stationary n.k karibuni fremu zipo nyingi sana.

Pia wale wanao hitaji HOSTEL KARIAKOO zipo{Wanafunzi DIT, CBE, DMI, TIA, IFM, AMAZON n.k} karibuni sana.

Call:- 0758911751.
"YOU WIN WE WIN"

Huu unaweza kuwa ni utapeli.au unamaanisha vile vifremu vidogo kabisa vya tigo pesa.ambavyo unaingia mtu mmoja tuu na simu zako za miamala
 
Huu unaweza kuwa ni utapeli.au unamaanisha vile vifremu vidogo kabisa vya tigo pesa.ambavyo unaingia mtu mmoja tuu na simu zako za miamala
Nimeshaelezea Sana huko nyuma. Naona umevamia Kwa Kasi Sana naomba upitie huko nyuma utaelewa more important ufike kariakoo acha maneno_maneno njoo kariakoo.
 
Nimeshaelezea Sana huko nyuma. Naona umevamia Kwa Kasi Sana naomba upitie huko nyuma utaelewa more important ufike kariakoo acha maneno_maneno njoo kariakoo.
Karikoo ndiyo nyumbani.au unamaanisha karikoo ipi sasa.acha utapeli!
 
Karikoo ndiyo nyumbani.au unamaanisha karikoo ipi sasa.acha utapeli!
Sina Cha kukujibu bwana mdogo Kama Wewe ila itoshe kusema unamatatizo, unawezaje kumuita mtu tapeli ambaye hajawahi kukutapeli au haujawahi kusikia katapeli mtu?
 
Duh jamaa aliweka details, anafafanua lakini watu wanakazana kujaribu kum knock out. Upo Dar kwanini usiende kama unahitaji ili ucheki uhalisia na kila kitu.
 
Duh jamaa aliweka details, anafafanua lakini watu wanakazana kujaribu kum knock out. Upo Dar kwanini usiende kama unahitaji ili ucheki uhalisia na kila kitu.
Watu wanaamini sana kwenye kushindwa.
 
Back
Top Bottom