85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

Habari boss!

Naweza pata fremu ya chini ambayo gari kama canter inafika? Nahitaji hii fremu kwaajili ya biashara ya mizigo, ila hata ikiwa ndogo ni sawa maana naanza kwa parcels kwanza nikiendelea kujenga jina. Kama inapatikana ni kwa bei gani kwa mwezi na nalipia kwa muda gani? Asante.
Unapata Uncle karibu sana nakupa ya hapa mtaa wa Uhuru barabarani kabisa ukiwa unashuka hii barabara ya kwenda mnazi mmoja ipo ya 300,000 chini pia ipo ya 250,000 juu ghorofani unalipa Kwa mwaka gari inapaki vizuri karibu.
 
Habari wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO.
Kwanza kabisa naomba nianze Kwa taarifa kutoka EACLC UBUNGO. "Uongozi wa kituo Cha biashara Cha kimataifa Ubungo umetangaza Kodi ya duka EACLC UBUNGO inaanzia shilingi milioni moja za Kitanzania(1M Tsh)".

Hivyo Sasa Ndugu zangu naona Kuna Story nyingi Sana za kutishana/kukatishana tamaa kuhusu KARIAKOO story ni nyingi kuliko kawaida sasa ngoja niwape mwanga kidogo, Hapa kariakoo zipo fremu za Bei ya kawaida kabisa ambayo mtu yeyote anaweza kumudu, mfano zipo fremu za 85,000 ghorofani unalipia Kwa miezi sita au mwaka zipo za 100,000 zipo za 200,000 zipo za 250,000 zipo za 300,000 zipo za 350,000 zipo za 400,000 zipo za 500,000 zipo za 800,000 mpaka 1,000,000 inategemea na mtaa pia na sehemu yani namaanisha Kama ni underground, juu au chini kawaida. Hivyo basi msiogope kuja kufanya biashara au kuplan kufanya biashara kariakoo kwani fremu za Bei chee zipo nyingi sana achana na story za kukatishana tamaa wakati unaweza kuingia kariakoo na mtaji wako mdogo kabisa na ukapiga kazi vizuri kama wafanya biashara wengine na ukatengeneza faida kubwa.

Kwa maana hiyo basi wale wote wanao hitaji fremu za kuuzia nguo, viatu, urembo, vyombo, huduma za kifedha kama M-PESA , TIGO PESA, AIRTEL MONEY, HALO PESA, CRDB wakala, NMB wakala, NBC wakala n.k, kuuza simu, kuuza underwear(boxer,chupi,soksi,taiti n.k), kuuza vinywaji kama soda, maji, juisi n.k, kuuza vifaa vya simu, kuuza vyakula, kuuza mifuko kwa jumla, kuuza t shirt, kuuza vifaa vya ujenzi, fremu za pharmacy, stoo za mizigo, kuuza nguo za michezo, stationary n.k karibuni fremu zipo nyingi sana.

Pia wale wanao hitaji HOSTEL KARIAKOO zipo{Wanafunzi DIT, CBE, DMI, TIA, IFM, AMAZON n.k} karibuni sana.

Call:- 0758911751.
"YOU WIN WE WIN".
Nyumba za kuishi vip? Weka mchanganuo wake pia
 
sehemu kodi ya juu inafikia hadi milioni+ Unataka ukatafute frem ya 85,000? kweli? waambie wadau ukweli hyo frem ya 85 kwenye biashara uta haso sana aidha ni ghorofani juu kabisa ambapo hakuna wateja au ni sehemu isiyo na mzunguko wa watu
Wanaelewa vizuri Sana ni ghorofani floor ya tatu. Pia sio wote wanasubiri wateja waje wengine wanafanya e-commerce business, hii post kwaajili ya wafanya biashara so wananielewa nini namaanisha trepidation out Uncle.
 
Fremu ya 85000 itakua kupewa kieneo nje ya duka la mtu uweke kibanda chako cha uwakala ambavyo huwa vinabomolewa na migambo mara kwa mara
Bado haujui mambo yote Uncle njoo kariakoo nikupe kigoli Cha 85,000 juu ghorofani floor ya 3 tena mtaa umechangamka Sana hapa Aggrey alafu utaleta mrejesho hapa.
 
Title ni frem ndani ni KIGOLI!! Hapo ndio umakini unahitajika.Pia kkoo imejengwa kwa mitaa taja japo mtaa w bei ya 85000 kwa mwezi.plz
KAZI ni kipimo cha UTU
Kama kweli upo serious njoo kariakoo nikuoneshe vigoli na fremu kimaelezo nazani nimeeleweka ukisema nianze kuandika mambo yote hapa nitawachosha watu so wewe njoo kariakoo utizame.
 
Too good to be true!
Tangazo ni zuri doubt 🧐 yangu ni ALIYO ANDIKA YAWE KWELI..I MEAN YALIYOMO YAMO..

Mara KADHAA wa KADHAA imeibuka tabia ya watu kutoa tangazo zuri Kama hili Ila ukimtafuta anakupa habari tofauti kabisa.

Mfano madalali wa nyumba, viwanja, fremu za biashara, biashara ya mazao n.k

Sijui Nini nini..nasikiaga Mara kilemba.

Na iwe Kama ulivyo andika
 
Tangazo ni zuri doubt 🧐 yangu ni ALIYO ANDIKA YAWE KWELI..I MEAN YALIYOMO YAMO..

Mara KADHAA wa KADHAA imeibuka tabia ya watu kutoa tangazo zuri Kama hili Ila ukimtafuta anakupa habari tofauti kabisa.

Mfano madalali wa nyumba, viwanja, fremu za biashara, biashara ya mazao n.k

Sijui Nini nini..nasikiaga Mara kilemba.

Na iwe Kama ulivyo andika
Haina kilemba Uncle majengo mengi yamejegwa upya. Pia fremu zinaendelea kuchukuliwa so Kama ukichelewa ukinitafuta zimesha chukuliwa ndio huwa inaonekana uswahili kumbe hapana.
 
kwamba mimi sijakuelewa au
Yes kutokana namaelezo yako ok ngoja nikwambie kitu kuna mwingine anachukua fremu ya bei hiyo(rahisi) unayosema wewe kwaajili ya biashara ya chakula yani kuweka au kuandaa chakula chake ili aanze kusupply Kwa walaji/wateja wake. Hivyo kwenye fremu sio lazima uweke bidhaa ambayo mteja akufuate ulipo are we good Uncle?
 
Yes kutokana namaelezo yako ok ngoja nikwambie kitu kuna mwingine anachukua fremu ya bei hiyo(rahisi) unayosema wewe kwaajili ya biashara ya chakula yani kuweka au kuandaa chakula chake ili aanze kusupply Kwa walaji/wateja wake. Hivyo kwenye fremu sio lazima uweke bidhaa ambayo mteja akufuate ulipo are we good Uncle?
ofisi geresha au tegesha sawa.
 
Back
Top Bottom