85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

Unapata Uncle karibu sana nakupa ya hapa mtaa wa Uhuru barabarani kabisa ukiwa unashuka hii barabara ya kwenda mnazi mmoja ipo ya 300,000 chini pia ipo ya 250,000 juu ghorofani unalipa Kwa mwaka gari inapaki vizuri karibu.
 
Nyumba za kuishi vip? Weka mchanganuo wake pia
 
sehemu kodi ya juu inafikia hadi milioni+ Unataka ukatafute frem ya 85,000? kweli? waambie wadau ukweli hyo frem ya 85 kwenye biashara uta haso sana aidha ni ghorofani juu kabisa ambapo hakuna wateja au ni sehemu isiyo na mzunguko wa watu
Wanaelewa vizuri Sana ni ghorofani floor ya tatu. Pia sio wote wanasubiri wateja waje wengine wanafanya e-commerce business, hii post kwaajili ya wafanya biashara so wananielewa nini namaanisha trepidation out Uncle.
 
Fremu ya 85000 itakua kupewa kieneo nje ya duka la mtu uweke kibanda chako cha uwakala ambavyo huwa vinabomolewa na migambo mara kwa mara
Bado haujui mambo yote Uncle njoo kariakoo nikupe kigoli Cha 85,000 juu ghorofani floor ya 3 tena mtaa umechangamka Sana hapa Aggrey alafu utaleta mrejesho hapa.
 
Title ni frem ndani ni KIGOLI!! Hapo ndio umakini unahitajika.Pia kkoo imejengwa kwa mitaa taja japo mtaa w bei ya 85000 kwa mwezi.plz
KAZI ni kipimo cha UTU
Kama kweli upo serious njoo kariakoo nikuoneshe vigoli na fremu kimaelezo nazani nimeeleweka ukisema nianze kuandika mambo yote hapa nitawachosha watu so wewe njoo kariakoo utizame.
 
Too good to be true!
Tangazo ni zuri doubt 🧐 yangu ni ALIYO ANDIKA YAWE KWELI..I MEAN YALIYOMO YAMO..

Mara KADHAA wa KADHAA imeibuka tabia ya watu kutoa tangazo zuri Kama hili Ila ukimtafuta anakupa habari tofauti kabisa.

Mfano madalali wa nyumba, viwanja, fremu za biashara, biashara ya mazao n.k

Sijui Nini nini..nasikiaga Mara kilemba.

Na iwe Kama ulivyo andika
 
Haina kilemba Uncle majengo mengi yamejegwa upya. Pia fremu zinaendelea kuchukuliwa so Kama ukichelewa ukinitafuta zimesha chukuliwa ndio huwa inaonekana uswahili kumbe hapana.
 
kwamba mimi sijakuelewa au
Yes kutokana namaelezo yako ok ngoja nikwambie kitu kuna mwingine anachukua fremu ya bei hiyo(rahisi) unayosema wewe kwaajili ya biashara ya chakula yani kuweka au kuandaa chakula chake ili aanze kusupply Kwa walaji/wateja wake. Hivyo kwenye fremu sio lazima uweke bidhaa ambayo mteja akufuate ulipo are we good Uncle?
 
ofisi geresha au tegesha sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…