Mfwatiliaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,323
- 67
Tuleteeni yanayojiri mliopo kwenye scene walau kwa kupeleka pics
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I am sorry to differ lakini huyu Sullivan atatu cost tuuu maana mkutano wake wa mwisho wa Nigeria hawakufaidika na chochote, halikadhalika ile mikutano iliyopita iliyofanyika Ghana na Senegal nayo hakuna chochote kilichoendelea afterwards
Dont get me wrong its good to see a black consesus kama hii ikikutana lakini lets be ready kumuona bwana KWAME KILPATRIC akija kuwafundisha mameya wetu namna ya kujirusha(I am sure watu wa Detroit wanalielewa hili) of course bila kumsahau tapeli mwingine bwana Andrew Young akija na mchungaji Stith ambaye alitaka kuujenga Ubalozi wao ofisi za Usalama wa Taifa Dar, mwishowe hata hiyo drive inn tuliyobaki nayo wakaivunja kuwaridhisha huku wakiwaachia raia pale pembeni msasani miserable life na wakati huo huo huo lile shamba walilopewa kibaha mpaka leo limeendelea kuwa pori.
Nothing new here, TTB wakitaka wabadilishe Marketing strategies na concentrate na watu wenye pesa na siyo hawa vishuka na maneno mengi
Huuu Mkutano wa sullivan ni walokole tu hawa sio chochote si lolote ukweli ni watu wenye kutumiwa na weupe wa Marekani ........amkeni jamani wao wanajiita diaspoara????????? ni watu wanaotumiwa dhidi ya waafrika na blacks wamerekani. hawana INFLUENCE yoyote kwa blacks wa usa isipokua wanandugu tu . wameleta ndugu hapa kutudanganya lengo likiwa ku pora maliasili zetu basi hili ndio lengo. kama wao wana shawishi blacks kujaribu kuwekeza Africa basi tunawajua blacks ambao wanauwezo lakini hawataki utapeli wa hawa jamaaa na policy ya usa ni tabu sana kuwekeza nje ya USA. Kama wao ni wakweli wengekuja na kina Tiger Wood, Mohamed Ali , 50 cents, michael jacksons,will smiths,d.washington,hawa wanapesa tena hawajui wa invest nini wanaishia kutapeliwa tu. tagert ingekuwa hawa lakini hakuna campaing yoyote kuwashawishi kwamba motherland yao Africa inahitaji investment zao na return ipo.
so hawa ni walokole wa Bush WANAKAZI MAALUM YA KUZUGA KWA WASOTAKA KUFIKIRI
Huuu Mkutano wa sullivan ni walokole tu hawa sio chochote si lolote ukweli ni watu wenye kutumiwa na weupe wa Marekani ........amkeni jamani wao wanajiita diaspoara????????? ni watu wanaotumiwa dhidi ya waafrika na blacks wamerekani. hawana INFLUENCE yoyote kwa blacks wa usa isipokua wanandugu tu . wameleta ndugu hapa kutudanganya lengo likiwa ku pora maliasili zetu basi hili ndio lengo. kama wao wana shawishi blacks kujaribu kuwekeza Africa basi tunawajua blacks ambao wanauwezo lakini hawataki utapeli wa hawa jamaaa na policy ya usa ni tabu sana kuwekeza nje ya USA. Kama wao ni wakweli wengekuja na kina Tiger Wood, Mohamed Ali , 50 cents, michael jacksons,will smiths,d.washington, hawa wanapesa tena hawajui wa invest nini wanaishia kutapeliwa tu. tagert ingekuwa hawa lakini hakuna campaing yoyote kuwashawishi kwamba motherland yao Africa inahitaji investment zao na return ipo.
so hawa ni walokole wa Bush WANAKAZI MAALUM YA KUZUGA KWA WASOTAKA KUFIKIRI
hawa jamaa wamekuja kutalii.. mimi nawahakikishia kama kweli tunataka kujikwamua kiuchumi.. hatutaangalia nje, tutaangalia ndani maana wanaweza kuja wamarekani weusi wote, wazungu wote n.k na tukabakia masikini vile vile..
Hivi mnaweza kuamini sasa hivi wakitambulisha nchi zilizoshiriki katika mkutano huu katika kikao cha marais Membe amataja...United Republic of Tanzania na bila kusahau Zanzibar! I though ingekuwa Tanganyika na Zanzibar if that is the case.... Yaani yupo hapo anachemsha ile mbaya! Hawajui hata marais waliopo na alisahau kuwatambulisha!
Serikali inatumia 30m dollars kwenye huu mkutano,inawapa complimentary kwenda mbugani,wao wanaongelea baba zao,Martin Luther King...Then mkutano ukiisha,wanafanyiwa party kubwa Zanzibar(Kempinski),huku Wazanzibari wenyewe wako kwenye giza.Mimi mpaka sasa hivi sijaelewa huu mkutano unatusaidia kivipi.Ingekuwa ni mara ya kwanza unafanyika Africa,ningesema labda.Sasa wale wanyamwezi kila anayehojiwa anasema he/she happy to come back home.Mbongo anajikusanya kwenda kutafuta mwekezaji....
I have been a big fan of Bush toka alivyokuja hapa.Kaja na pesa zake,katumia sana,na kuacha nyingine nyingi tu,na zitaendelea kuja.Kaja na waandishi habari wengi sana,habari za yeye kuwa huku i'm sure zilionyeshwa kwenye channel nyingi sana huko US.Mpaka taa za barabarani hapa waliamriwa waweke maeneo waliyotaka na wao walilipia.
Sullivan wamekuja kuweka daraja kati ya wamarekani weusi na waafrika...hilo daraja kwa nini halijaonyesha mafanikio yeyote west Africa walikofanya hii mikutano kabla,tufanikiwe sisi?
hawa jamaa wamekuja kutalii.. mimi nawahakikishia kama kweli tunataka kujikwamua kiuchumi.. hatutaangalia nje, tutaangalia ndani maana wanaweza kuja wamarekani weusi wote, wazungu wote n.k na tukabakia masikini vile vile..