macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ndio maana ninasema bado siwezi kumuhukumu Muuungwana, in general maana kuna vitu kama hivi ambavyo ni plus kwa economy yetu na heshima kwa taifa letu!
ahsante mzee PM kwa hizi news!
Whats is the use of "heshima"? Heshima iendane na uwezo! Kama huna uwezo wa kununua suti lakini ukingangania kuinunua wewe ni maamuma! Mwaka jana nilikuwa moja ya nchi za Scandinavia (nchi inayotoa misaada kibao kwa Bongo) na kuna wabunge wachache waliokuwa na wazo la kutaka nchi iangalie uwezekano wa kuandaa mashindano ya kandanda ya nchi za Ulaya (UEFA) but hawakufua dafu kwani watu walikuja na hoja.... viwanja tutakavyojenga mashindano yakiisha tutavifanyia nini kama sio kupoteza hela ya bure? Nchi itajengwa na wananchi wenyewe na sio na wageni!!!!!