Tetesi: 90% ya Waandamanaji kutoka Mikoani wamewasili Dar es Salaam, Waliosalia ambao wengi wataingia Jumamosi wameombwa kutokuvaa sare za CHADEMA safarini

Taifa linaenda kupona.
Nimeona Watanzania wametawanyika nyikani bila kiongozi.

Maandamano haya siyo ya CHADEMA, ni maandamano ya Wananchi.

Mungu atapokea kilio cha Watanzania
Maandamano ya wanasiasa sio wananchi
 
Kumbe waandamanaji ni wa kukodiwa isije kuwa mmewaleta wakimbizi kuja kuandamana mkasema ni wananchi
Rejea hotuba ya mwisho ya mchungaji Mtikila
 
kama wamepanga kufanya FUJO ......... basi wengi watakuwa wametokea mkoa fulani ....... (ambapo kwa DAR wengi wanakaa KITUNDA na wanauza mayai kwa baiskeli)
wa kujiandaa wajiandae
 
 
Ogopeni sana Red Brigade na mbinu zao. Hatari sana hawa? na tena wakiwa wanaungana na hawa mawakala na mamluki wa kigeni mitandaoni.

Na ole wenu safari hii mkinifanya nifunge duka langu. Na Jogging zenu.

Yaani nitachapisha mabango mengi tu ya kuwakataa 2024-2025.

.....Piga Kura ya [❌] kwa wagombea wote wa CHADEMA...

Hawa wata tuwashia moto nchi hii kwa uharakati wao.
 
Mbona mnapenda kudanganya na kujifanya kuwa mkiandamana mtaleta hofu kubwa, lakin ukweli maandamano ya CDM ni hayana impact yeyote? Mbona CDM iliandamana Mara kadha na hatukuona impact yeyote. Kwa hiyo hao asilimilia 90 watajaa kwenye mabarabara yote ya Dsm? Kama mna nguvu na impact kwann kila mkoa usiandamane ili shughuli zisimame kote Tanzania kama Genz Z ya Kenya.
 
Karibuni sana, Jeshi la Polisi na vyombo vyote vya dola vimeshakusanya kila aina za zana kwa ajili ya kuwashughulikia
 
Kuna tetesi kwamba fiery Soka hatumuona tena.
Kwamba yeye ni mmoja wa watu wanne waliopelekwa,......ah,India.
 
 
Maandamano co ya CHADEMA ila waandamanaji wameambiwa wasivae sare za CHADEMA!?, Inafikirisha aisee.
Pale polisi anapochanganyikiwa na kugundua raia ana akili kuliko yeye na binduki yake

Pole mkuu, rudi CCP ukajifunze huduma ya polisi kuliko walivyokutia hamira kuwa kazi ya polisi ni kupambana na raia anayedai haki zake
 
Kwahy unamshauri Prof. Janabi ajitahidi shift inayoingia kazini tarehe 23 kuwe na wataalamu wa kutosha baada ya matokeo kati ya mechi ya vijana wa serikali wenye morali Vs Waandamanaji wakaidi
 
kwahiyo wamejikusana malundo malundo au matita matita gentleman?🐒

Lakini pia,
wamekuja kufanya maandamano haramu ambayo hayapo na yaliositishwa na waandaaji au hayo ni mengine?

hebu fafanua kwa kina kifupi kwa faida ya wadau gentleman. kwamba wamekuja kwaajili ya yale maandamano haramu ya Samia must go, yaliyositishwa jana na chairman au kuna mengine?🐒
 
Uko nje ya mada, Japo umeandika gazeti.

Kingine ambacho hukijui ni hiki, Wewe Pascal binafsi na mamluki wenzako hamna uwezo wa hamtakuja kuwa na uwezo wa kufifisha juhudi za Chadema za kudai demokrasia, hamna uwezo huo.

No vema hili ukalijua ili unapochangia hoja hizi uwe unachangia kwa adabu, wewe kama unanufaika na haya mambo endelea kunufaika, lakini je utaendelea hivyo hadi lini?

Halafu unachokiogopa kwenye maandamano ni kipi, ni lini Chadema waliwahi kuumiza au kuua mtu kwa Maandamano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…