Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake mko wachache sana jf na pamoja na huo uchache sio wachangiaji wa nyuzi nyingi...Yani siku hizi ukiingia tu jf unapokelewa na nyuzi za malalamiko kuhusu wanawake zimepangana na zote zimeanzishwa na wanaume, ila kukuta uzi wa malalamiko kwa wanaume ulioanzishwa na wanawake ni nadra sana, tukisema dunia ya leo wanaume wanaumia na kuteseka na mapenzi wanajitutumua oo mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu..pathetic!!
Yeah exactly na ndicho ninachowaambia wanaume kila siku kuwa siyo kwamba wanawake hawaumii wala hawateseki, ila wameshayazoea maovu ya wanaume na matokeo yake nao wameamua kuenda nao tit for tat, ila shida inakuja kwa wanaume hawakuzoea kutendewa maovu na wanawake ndio maana vilio kila konaSio kwamba wanawake hawateseki. Bali wameamua kupuuza kero wanazopata kutoka kwa wanaume wao. Kulialia haisaidii. Binadamu habadiliki kama ameamua kufanya mambo yake.
Mkuu ukiangalia hali halisi malalamiko ya wanaume hayako jf tu, bali kwenye mitandao mingi na hata huku mitaani pia, halafu tofautisha kati ya kuwaasa wanaume na kuwatukana wanawakeWanawake mko wachache sana jf na pamoja na huo uchache sio wachangiaji wa nyuzi nyingi...
Jf imekua kama kijiwe cha wanaume tu.
Hata ukiangalia replies za huu uzi utathibitisha hilo.
Hivyo si vibaya wanaume kuwaasa wenzao kwa namna moja au nyingine.
Mtenda akitendewa😀Yeah exactly na ndicho ninachowaambia wanaume kila siku kuwa siyo kwamba wanawake hawaumii wala hawateseki, ila wameshayazoea maovu ya wanaume na matokeo yake nao wameamua kuenda nao tit for tat, ila shida inakuja kwa wanaume hawakuzoea kutendewa maovu na wanawake ndio maana vilio kila kona
Binafsi nayaona sana jf, unajua kwanini??Mkuu ukiangalia hali halisi malalamiko ya wanaume hayako jf tu, bali kwenye mitandao mingi na hata huku mitaani pia, halafu tofautisha kati ya kuwaasa wanaume na kuwatukana wanawake
Sasa ndio umerudi kwenye hoja yangu, kwamba wanaume mnateseka lakini sisi tukisema tunatukanwa, na kuitwa feminists sijui vitu gani yani ni kama mko in denialBinafsi nayaona sana jf, unajua kwanini??
Wanaume hawana pahala pa kusemea. Tofauti na wanawake wana vikoba wanakutana huko, wana masherehe kedekede, wanatembeleana na kuambiana siri zao na nafsi zao kusuuzika...
Hizi mambo alizoongelea mleta uzi hukuti kijiweni wanaume wanaongelea, ni humu mitandaoni tena anonymously.
Usiwabeze, wanaona aibu kuzungumza hadharani ila wanaumia ndani kwa ndani, hapa ndo kidogo wanapata relief.
Huwa tunajitutumua kua ni wakamilifu sijui kujali na hatuumii ila deepdown wanawake wanapiga panapouma, ukiona uzi kama huu jua kijana ashapigwa chuma ya utosi.
Kabisaaa, ninyi ni walalamishi ilhali mmepewa uwanda mpana na bado matatizo yenu yanasikilizwa chap kiliko sisi ni vile wengi wenu hamchezi na fursa.Sasa ndio umerudi kwenye hoja yangu, kwamba wanaume mnateseka lakini sisi tukisema tunatukanwa, na kuitwa feminists sijui vitu gani yani ni kama mko in denial
Wanawake ni wengi kwa idadi popote paleWanawake mko wachache sana jf na pamoja na huo uchache sio wachangiaji wa nyuzi nyingi...
Jf imekua kama kijiwe cha wanaume tu.
Hata ukiangalia replies za huu uzi utathibitisha hilo.
Hivyo si vibaya wanaume kuwaasa wenzao kwa namna moja au nyingine.
Sio kwa jf mkuu, wanawake wengi hawapendi mambo za kusomasoma na kujificha kama hivi.Wanawake ni wengi kwa idadi popote pale