98% ya wanawake wanaweza kuwa makahaba kama option ya mwisho kujipatia kipato. Kwahiyo hakuna mwanamke aliyetulia. Dhiki hazijampata huyo

Wanawake mko wachache sana jf na pamoja na huo uchache sio wachangiaji wa nyuzi nyingi...

Jf imekua kama kijiwe cha wanaume tu.
Hata ukiangalia replies za huu uzi utathibitisha hilo.
Hivyo si vibaya wanaume kuwaasa wenzao kwa namna moja au nyingine.
 
Jadda Chujio sisi wanaume tuna mapungufu yetu mengi tu, ila mmh siku hizi wanawake wengi ni shida aisee, mtaani wanaume wengi tuko hoi, wadada wengi wapo kimaslahi tu (wanaangalia pesa tu) hata rafiki zangu wa kike wanakiri hilo, Yani no love
Unadhani tatizo nini
 
Sio kwamba wanawake hawateseki. Bali wameamua kupuuza kero wanazopata kutoka kwa wanaume wao. Kulialia haisaidii. Binadamu habadiliki kama ameamua kufanya mambo yake.
Yeah exactly na ndicho ninachowaambia wanaume kila siku kuwa siyo kwamba wanawake hawaumii wala hawateseki, ila wameshayazoea maovu ya wanaume na matokeo yake nao wameamua kuenda nao tit for tat, ila shida inakuja kwa wanaume hawakuzoea kutendewa maovu na wanawake ndio maana vilio kila kona
 
Wanawake mko wachache sana jf na pamoja na huo uchache sio wachangiaji wa nyuzi nyingi...

Jf imekua kama kijiwe cha wanaume tu.
Hata ukiangalia replies za huu uzi utathibitisha hilo.
Hivyo si vibaya wanaume kuwaasa wenzao kwa namna moja au nyingine.
Mkuu ukiangalia hali halisi malalamiko ya wanaume hayako jf tu, bali kwenye mitandao mingi na hata huku mitaani pia, halafu tofautisha kati ya kuwaasa wanaume na kuwatukana wanawake
 
Mtenda akitendewa😀
 
Mkuu ukiangalia hali halisi malalamiko ya wanaume hayako jf tu, bali kwenye mitandao mingi na hata huku mitaani pia, halafu tofautisha kati ya kuwaasa wanaume na kuwatukana wanawake
Binafsi nayaona sana jf, unajua kwanini??

Wanaume hawana pahala pa kusemea. Tofauti na wanawake wana vikoba wanakutana huko, wana masherehe kedekede, wanatembeleana na kuambiana siri zao na nafsi zao kusuuzika...

Hizi mambo alizoongelea mleta uzi hukuti kijiweni wanaume wanaongelea, ni humu mitandaoni tena anonymously.

Usiwabeze, wanaona aibu kuzungumza hadharani ila wanaumia ndani kwa ndani, hapa ndo kidogo wanapata relief.

Huwa tunajitutumua kua ni wakamilifu sijui kujali na hatuumii ila deepdown wanawake wanapiga panapouma, ukiona uzi kama huu jua kijana ashapigwa chuma ya utosi.
 
Sasa ndio umerudi kwenye hoja yangu, kwamba wanaume mnateseka lakini sisi tukisema tunatukanwa, na kuitwa feminists sijui vitu gani yani ni kama mko in denial
 
Sasa ndio umerudi kwenye hoja yangu, kwamba wanaume mnateseka lakini sisi tukisema tunatukanwa, na kuitwa feminists sijui vitu gani yani ni kama mko in denial
Kabisaaa, ninyi ni walalamishi ilhali mmepewa uwanda mpana na bado matatizo yenu yanasikilizwa chap kiliko sisi ni vile wengi wenu hamchezi na fursa.

Sisi kujifanya tunakufa na tai shingoni ndio tatizo , ila matatizo tunayo sana tu.
 
Wanawake mko wachache sana jf na pamoja na huo uchache sio wachangiaji wa nyuzi nyingi...

Jf imekua kama kijiwe cha wanaume tu.
Hata ukiangalia replies za huu uzi utathibitisha hilo.
Hivyo si vibaya wanaume kuwaasa wenzao kwa namna moja au nyingine.
Wanawake ni wengi kwa idadi popote pale
 
Wanawake ni wengi kwa idadi popote pale
Sio kwa jf mkuu, wanawake wengi hawapendi mambo za kusomasoma na kujificha kama hivi.
Wao kupiga picha kila mtu amuone, amsifie ndo zao hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…