Makande 26
Senior Member
- Jul 23, 2019
- 113
- 97
Nakumbusha tu taifa la israel lilikuja utumwani africa miaka mingi iliyopita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thankswell said
😃😃 kwa hiyo wao wanapoizungumzia history ya ulimwengu wanajua kuwa ili anzia hapo karne ya 7 AD?
Kama ni kufanya tuu ,mbona na sisi si tungelifanya kama walivyofanya wao kule Macca na Jerusalem? Halafu tukawaalika watu waje?😃😃 eti alipo pachagua mungu... hichondio ambacho walichokifanya watu wa middle east wame wa_brainwash ili muweze kuamini kuwa matambiko yao ni chaguo sahihi la mungu na yakwetu hayafai ili iwe rahisi kwa wao kuweza kuwatawala nakatika hilo wamefanikiwa
Aisee inasikitisha sana kuona baadhi ya watanzania kutoa history mbaya namna hiyo. Hiyo ndiyo history mliyo pewa shuleni kwenu?Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini watu weusi walishindwa kuwa wa kwanza kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?
Kwanini wazungu/waarabu waliweza kuwa wa kwanza kuwaza kuja kuwazoa babu zetu na kuwafanya bidhaa?
Waafrika tulikosa nyenzo gani za kutufanya kuwa wa kwanza kwenda Ughaibuni kisha kuwazoa wazungu kuja kufanya kazi za kitumwa katika mashamba yatu?
Je, hii inadhihirisha ya kuwa wazungu/waarabu wana kitu cha ziada kwenye akili/bongo zao (highly intelligent) tangia zama za kale mpaka wakawaza kuja Afrika kwa mara ya kwanza?
Je, kuna umuhimu wowote wa watu wa bara la Afrika kuendelea kulialia na kulalamikia biashara ya utumwa kama ni janga lililowarudisha nyuma kimaendeleo mpaka sasa?
NINAOMBA KUWASILISHA MADA HII FIKIRISHI. KARIBUNI SANA KWA MICHANGO YENU NDUGU ZANGU
Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher - JamiiForums
KUMBUKA: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO.
Utumwa unaanzia kwenye FIKRA.
Kama una raisi anayehisi kila kitu anahujumiwa anaweza kusafiri kweli? kila kitu yeye ni kulaumu mabeberu, hata ndege akipanda kama haijatengenezwa Tanzania si ataogopa?
Ili kumfanya mtu mtumwa wako, kama UVCCM, wanavyofanyiwa na kuwa watu wa kusifia tu hata mtu akijamba, lazma umfanye awe rafiki yako
Moja kati ya waafrika wapumbavu ni wewe, mada kama hii unaingiza mambo ya kijinga. na nyie ndo mnafanya waafrika tufeli kila siku, usenge tu... Mods nipigeni ban nipo tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na upuuzi wa kukejeli watu mkuuAisee inasikitisha sana kuona baadhi ya watanzania kutoa history mbaya namna hiyo. Hiyo ndiyo history mliyo pewa shuleni kwenu?
This is utterly ridiculous and nonsense. Hakuna binadamu aliyezaliwa akawa anajua kila kitu. Sisi sote hujifunza kupitia Conversations and discussionsKwa hali hii ningemwomba Rais Magufuli astopishe kugharamia elimu bure ya msingi na sekondari. Yaani inamaanisha kuwa kitu ambacho Rais Magufuli anakitolea pesa nyingi za walipa kodi ndiyo hiki?
Mkuu, hivi unajua ukiwa unaongelea Afrika ni kusini mwa jangwa la sahara? Afrika ya waarabu ile achana nayo wale sio level hiiTuanze na Misri, Misri iko Afrika. Yale ma Pyramids ya Gizeh yalijengwa mnamo miaka 2620 mpaka 2500 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo wa Nazareth. Hiyo peke yake ni uthibitisho tosha tukiongelea maswala ya tekinolojia.
Umeongeza mambo ya maana....... Tukizungumzia biashara ya utumwa hiyo haikuanza na wazungu kuwapeleka waafrika Amerika, watumwa walikuwepo kabla hata ya waingereza, wahispania na wareno. Wakati wa utawala wa kirumi, Warumi waliwachukua wagiriki na mataifa mengine ya kizungu kama Germania na Wakeltic kama watumwa wao baada ya kuwashinda.
Kwa hiyo nakusihi mkuu jiongeze kidogo kama una interest ya kujua historia ya ulimwengu. Usipende kutoa mambo ambayo hujayaangalia kimakini. Utaumbuka baadae.
Soma vitabu mbali mbali na jielimishe zaidi kupitia internet. ...
Kama kiteknolojia tulikuwa mbali kwanini waliweza kutuvamia? Kwanini tulikosa silaha na mbinu za kupambana nao?Kiteknolojia sisi tulikuwa mbali sana ila kuvamiwa na wageni kama wa persia wagiriki na baadae warumi mambo yote yakaharibika.
si ndo walipoishia kuiwaza hapo.... maana kama darasani wote tulisoma ila tukathink outside the box😃😃 kwa hiyo wao wanapoizungumzia history ya ulimwengu wanajua kuwa ili anzia hapo karne ya 7 AD?
Asante sana nimekupata vizuri sana mkuu. Ni kweli uliyo yasema hata mimi naafiki 100%. Napenda ku deal na watu intellingent kama wewe. Safi sana. Umenifungua macho. Ni kweli wakati ule watu walioishi kando kando ya mediterranean Sea hawaku iregard Misri au hasa mji wa Alexandria kama ni nchi au mji ambao uko Afrika. Waliiangalia zaidi bahari kuliko mipaka ambayo tumewekewa na ma monsters. It is true!Umeongeza mambo ya maana.
Ila tu ukitumia kipindi kile cha historia, yaani Aleksander Mkuu na Roma ya Kale:
wakati ule hapakuwa swali la Afrika au Ulaya au Asia.
"Bara" ni namna ya kisasa ya kugawa Dunia. Katika historia Bahari na mito ilikuwa muhimu zaidi, maana ziliunganisha watu, si kutenganisha.
Maana zamani ile usafiri ilikuwa asa kwa miguu, au kwa meli. Hapa utaona Bahari kama Mediteranea iliunganisha pande zake. Teknolojia ilikua kando yake na kuhamishwa pande zote, hivyo kujenga maendeleo na kukuza elimu.
Mbali na bahari watu walikuwa washenzi tu, kama unaangalia ndani ya Afrika au ndani ya Ulaya.
Kama Wamsri walijenga piramidi, watu wa maene kama Chad au Uganda hawakuendelea juu ya kujenga vibanda... Vivyo hivyo Waroma na Wagiriki walijifunza haraka kutoka Misri, lakini watu pale Uingereza na Ujerumani au Sweden walikuwa nyuma.
Unaweza kuona yaleyale katika pwani za bahari hindi - ustaarabu na utamaduni kote kwenye pwani, watu wa pwani walikuwa na mambo mengi ya pamoja kuliko wenzao barani, kama ni Afrika Mashariki, Uhindi Magharini, Asia au Uajemi Kusini.
Calm down mzee baba. Ninaona umeandika kwa jazba sana mkuu. Punguza hasiraMoja kati ya waafrika wapumbavu ni wewe, mda hii unaingiza mambo ya kijinga. na nyie ndo mnafanya waafrika tufeli kila siku, usenge tu... Mods nipigeni ban nipo tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujiongeza na kupanua maarifa zaidi ya yale tuliyofundishwa ni suala moja la busara sanasi ndo walipoishia kuiwaza hapo.... maana kama darasani wote tulisoma ila tukathink outside the box
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini watu weusi walishindwa kuwa wa kwanza kwenda Ulaya/Amerika (Ughaibuni) kuwachukua wazungu kisha kuwaleta Afrika kuwafanya watumwa?
This is a very bad news
Sijambo babu. Msalimie sana bibi yanguje hujambo??